SHUKRANI BI JEANIFER MURUNGI KICHWABUTA KWA MWALIKO WA IDD EL FITRI
Ni majira ya Saa tatu na nusu asubuhi,mara baada ya swala ya Iddi El Fitr iliyofanyika katika msikiti wa Jamia Mjini hapa kwa siku ya Jana, mwanalibeneko nikiwa nimepata mwaliko nyumbani kwa Mr&Mrs Badru Kichwabuta.

Bi Jeanifer Murungi,katika kuwakaribisha baadhi ya Wageni nyumbani kwake.
Baadhi ya Wageni wanaingia ndani na kukaa Sebuleni.
Tayari kifungua kinywa kimeandaliwa mezani
Anakaribishwa Mezani Mzee wetu Mzee Kaitaba.
Mr Karibuni mezani Chai iko tayari, Be Jeaniffer Murungi akimkaribisha mmewe na wageni.
Anakaribia mezani Mr Badru Kichwabuta na Swahiba wake Ndg Birungi
Ndugu Birungi akendelea kupata huduma ya Chai
Waalikwa wakipa Chai iliyo andaliwa nyumbani kwa Mr na Mrs Bardu Kichwabuta
Mezani pia yupo Ustaadh na Ndugu Majid Kichwabuta.
Waalikwa wakiwa wanaendelea kupata Chai
Kijana pembeni na Ustaadhi katika udhibiti mezani.
Mmoja wa waalikwa akiendelea kupata chai.
Vijana nao kama wanavyo onekana pichani
Mr Khakimu Hussein akiwa anaendelea kupata Chai
Kushoto ni Kijana Mandhuli Majid akiwa anaendelea kupata chai
Katika picha ni Kijana Manshur na Mrs Badru Kichwabuta.
Mr Khakimu akiendelea kupata Chai,kulia kabisa ni Ndugu Jamal Issa.
Bi Kamama/Mr Deo Lutinwa (kushoto) katika picha na Mr &Mrs Badru Kichwabuta
Wanandugu hao wakipata picha na Shemeji yao Ndugu Majid Kichwabuta
Anaingia Dada Paschazia Barongo
Kijana Mandhur katikati akiwa nje kuwapokea wageni walio ongozana na Dada Paschazia Barongo,pichani kushoto ni Ndugu Traford Luangisa
Wakiwa mezani tayari wakati mambo yanaandaliwa.
Katika hili na lile katika bustani safi iliyo zunguka nyumba hii
Wakati wageni wakiendelea ndani ,napata fulsa ya kuchukua picha ya kumbukumbu,kati ya Ndugu Badru, Mzee Kaitaba, Ndugu Birungi na Mwanae.
Nyamkazi ni sehemu maarufu yeenye mandhari nzuri na upepo kutoka Ziwa victoria.
Wakivadilishana mawazo na kufurahia hali ya hewa
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta katika picha na Ndugu Khakim Kichwabuta
Katika pozi moja matata anaonekana Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
Daaah Blogger Mc Baraka nawaaminia sana watu wangu natumia fursa hii kutoa shukrani kwa mwaliko huu mapema ya Iddi el fitri Mwenyezi Mungu awabaliki.
Ni majira ya Saa tatu na nusu asubuhi,mara baada ya swala ya Iddi El Fitr iliyofanyika katika msikiti wa Jamia Mjini hapa kwa siku ya Jana, mwanalibeneko nikiwa nimepata mwaliko nyumbani kwa Mr&Mrs Badru Kichwabuta.
Bi Jeanifer Murungi,katika kuwakaribisha baadhi ya Wageni nyumbani kwake.
Baadhi ya Wageni wanaingia ndani na kukaa Sebuleni.
Utayari wa mambo Sehemu ya Dining .
Baada ya kuwakaribisha wageni Sebuleni, Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta anaendelea kuandaa Chai MezaniTayari kifungua kinywa kimeandaliwa mezani