SIKILIZA AUDIO WATANGAZAJI B12, FETTY NA ADAMA WA CLOUDS FM WAKIPIGANA STUDIO
Watangazaji wa double xxl adam,fetty na b12 ni ubishani wa kitoto toto
ulioanza hatimaye wakazichapa wakiwa on air kabisa,mchomvu dizaini ni km
ana utata utata siku zote lakini kwasiku ya jana challenge fetty kuhusu deal ya
kurelease compilation album ambayo anaifukuzia,wakati huo huo b12
akawachallenge kua wamechelewa sana coz yeye tayari amechaiandaa
china.na soon inakuja,wakati huo huo Adam hakupenda hicho kitu,akasema
ataitoa yeye ndipo fetty na b12 wakamchana alishindwa kutoa fiesta album
tangu mwaka jana hii ataiwezea wapi,ndipo adam akaleta ugomvi na kutaka
kumchapa fetty, b12 katikati akijaribu kurescue situation,ni.aibu coz
yote yalikua on air na b12 mara kwa mara alijaribu kuzima mic kabla ya
ugomvi na wenzake wakazidi kumuona anabana lakini wengi wanadhani alikuwa sawa katika hilo.
Muonekano wa Ofisi baada ya vurugu
Muonekano wa Ofisi baada ya vurugu
PATA KUSIKILIZA KILICHOJILI HAPA CHINI.