Bukobawadau

YALIYOJILI KATIKA BIRTHDAY PARTY YA KIJANA ASHMAR K BIN AMAR (KHARIFA)

Ni matukio ya picha katika Birthday Party ya Kijana Mdau Ashmar K Bin Amar (Kharifa) Usiku wa Ijumaa Jul 18,2014 alipo waalika wadau kadhaa katika kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
 Muonekano wa kitu keki pichani.
 Marafiki wakamfanyia Suprise Birthday Boy Ashmar kama anavyo onekana akijifuta.
 Hivi ndivo mambo yanavyokuwa katika  siku ya kuzaliwa kwa baadhi ya watu (birthday party) ambapo mhusika husindikizwa kwa kumwagiwa maji kama anavyo onekana kijana Ashmar pichani
Duuuhhh Kisanga mbele ya Camera yetu ni katika Idadi ya Keki, wao wanasema;' Kileki Basi'!!
Mdau embu tuone namna shughuli nzima ilivyokuwa iliyofanyika katika ukumbi wa The Walkgard Transit,Hotel Bukoba,Ilivyokuwa chini ya Ukodak wa #Bukobawadau Entertainment Media
 Ni majira ya magharibu shughuli inaanza kwa waalikwa kupata Futari maalum .
Hivi ndivo mambo yalivyokuwa kwa Kijana Ashmar katika  Party yake ndogo kwa marafiki na watu wake wa karibu aliifanya katika hotel ya Transit Hotel The Walkgard mjini  Bukoba
 katika jitihada za kuondoa makunyanzi usoni na moyoni
Huduma ya chakula ikiendelea..
 Mwanadada Dyner Van Jimmy(Dyana) na Nancy Nas (Nafsa) ni sehemu ya waalikwa.
Hakika ni moja  ya shughuli iliyo kaa vyema ikiwa imehusisha sehemu kubwa ya vijana.
Muonekano sawia wadau wakipata futari maalum ikiwa ni siku ya kuzaliwa kijana Kharifa.
 Huduma ya chakula ikiendelea.
Kwa matukio zaidi ya picha,kama kawaida tunaomba utembelea ukurasa wetu wa facebook.
 Ndugu Yusuph akipata fursa ya msosi
 Aine Kishah pichani mwanadada maarufu kama(Sweet-Akeel ni mmoja wa waalikwa
 Katika pozi ni Bi Beatrice Marwa.
 AbdulMalik Tungaraza( Dj Max) 
 Mwanadada Devotha David mwana wa Geans pichani
 Kijana Mdogo mpambanaji James,
 Mshereheshaji wa shughuli hii ni Kijana Samla D Othman(Mkhusin) pichani
 Moja kwa moja kutoka Transit Hotel The Walkgard
 Mishumaa ikawashwa na Wadau waalikwa wakashirikiana kuimba wimbo wa Birthday boy wakati Ashmar(Kharifa) kwa furaha (ne-bigonzo)yaani mahaba makubwa kwa waalikwa wote.
 Mara baada yakuimbwa wimbo maarufu wa 'Happy Birthday'likakafuatia zoezi la nilishe nikulishe.
 Bibie Agnes akifuatilia kwa ukaribu.
 Rafiki wa karibu na Ashmir Mdau Yusuph Mawalla akilishwa keki.
 Kautaratibu ka kulishana keki  kakaendelea kati ya ndugu ,waalikwa na mhusika Ashmir.
 Zoezi la kulishana Keki likiendelea .
  Bi Beatrice pichani kushoto,
Mwanadada Happy Kasimbazi katika pozi
 Kushoto ni Mstaarabu Yusuph Mawella na Mwanadada Agnes
 Kuelekea muda wa kutoa zawadi , kwa mbali anaingia mwanadada G Treezo Martin.
 BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA NDUGU ASHMAR BIN OMAR!! 
JIUNGE NA UKURASA WETU WA FACEBOOK KUPITIA KWA KUGONGA HAPA>
# Bukobawadau Entertainment Media
 
Next Post Previous Post
Bukobawadau