ALIYEKUWA MKUU WA BANDARI BUKOBA BW.ERNEST NYAMBO AAGWA RASMI KWA SHANGWE KUBWA NDANI YA MANISPAA YA BUKOBA
Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya shughuli hii kubwa ya kumuaga Bw. Ernest Nyambo (KAKA MKUBWA) aliyehamishwa kikazi kwenda ndani ya jiji la Dar es salaam.
Sehemu ya wadau walio hudhuria hafla hii
kutoka kushoto ni Mrs Hop Makoko Bi lilian Mwise na Bi Rukia kassim
Sehem ya wageni waalikwa
Mr and Mrs, Amin nao walikuwepo katika hafla hii.
Mh. Balozi hamis Kagasheki akiingia ukumbini
Mh. Balozi hamis Kagasheki akikaribishwa ndani ya ukumbiKutoka Kushoto ni Kamishina George Kombe afisa uhamiaji wa mkoa wa Kagera .RPC Mwaipambe kamanda wa polisi mkoa wa Kagera na kulia ni Mh. Balozo Khamis S.Kagasheki Mbunge wa jimbo la Bukoba mjini.
Shaffi kushoto Salum mwingu katikat na Ndg.Bushira nao pia walikuwepo
Kaka Mkubwa Ernest Nyambo akiingia ukumbini
Ernest Nyambo akipokelewa kwa shangwe na nderemo
Ikachezwa rumba kidogo chini ya Mc mahili Jonathan Mwanga (jerry)
Mh. Balozi Khamis S.Kagasheki akiteta jambo na Ernest Nyambo
Bw. Ernest Nyambo akikata keki iliyondaliwa maalum kwa hafla hii
Zoezi la kulisha keki likiendelea hapa ni salim akipata kipande cha keki
Mwenyekiti wa hafla Bw Jamco kalumuna pembeni ni mkewe Bi jamila
Twende sasa.................!!
Wageni mbali mbali waliohudhuria hafla hii wakipita kugonga cheers
Hapa mziki ukawakolea
Mwenyekiti wa kamati akikabidhi zawad ya TSh. mill 3 kwa niaba ya wanakamati wa hafla hii
Shangwe likiendelea
Mr and Mrs Ernest Nyambo
Ernest akitoa neno zito la Shukrani
Picha ya pamoja na wadau
BUKOBA WADAU BLOG TUNATOA PONGEZI KWA WANAKAMATI WALIONDAA HAFLA HII, AMA KWA HAKIKA ILIFANA SANA.
PIA ERNEST NYAMBO(KAKA MKUBWA) AMEPATA BAHATI YA KUSIFIWA KWA MSHIKAMANO UMOJA NA UPENDO AKIWA HAI KWANI WENGINE HUSIFIWA WAKISHATANGULIA MBELE YA HAKI.