Bukobawadau

BABA ASKOFU MSTAAFU PAULO MUKUTA AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko makubwa napenda kuwatangazia kifo cha Baba Askofu Mstaafu Paulo Mukuta wa KKKT- Dayosisi ya Karagwe, kilichotokea hospitali ya KCMC usiku wa tarehe 19/8/2014.
Baba Askofu Paulo Mukuta ndiye Askofu wa kwanza wa dayosisi ya Karagwe na aliongoza tangu 1979 hadi 1996 alipostaafu.

Mipango ya mazishi inaandaliwa na mtajulishwa.
Apumzike kwa Amani ya Bwana, Baba yetu na Babu yetu.
+Benson, ASKOFU
Dayosisi ya Karagwe
Next Post Previous Post
Bukobawadau