CHECK SUPRISE BIRTHDAY PARTY YA MREMBO DYNER @TRANSIT HOTEL THE WALKGARD
Ni matukio ya suprise birthday party ya Mwanadada Dyner Van Jimmy pichani,aliyofanyiwa na rafiki zake Nancy Nafsa na Kijana Mkhusini ,iliyoweza kufana ile mbaya ndani ya Transit Hotel The Walkgard - Bukoba , kiwanja kinacho chukua kasi kwa Vijana wa Mjini hivi sasa
Wageni waalikwa wakipa msosi ulio andaliwa na wataalam wa mapishi kutoka Asia kama kawaida shughuli ikifanyika Transit Hotel The Walkgard.
Kushoto ni Mwanadada Adila katika picha na Bibie Jess Jane
Huduma ya msosi ulio andaliwa na Wataalam kutoka Asia ikiendelea
Bi Aidah, maarufu kama Miss Alade kutokana na swagar zake kufananishwa na Mwimbaji maarufu wa Nigeria Yemi Alade mwenye jina jina kubwa sana Tanzania
Vile wanafurahi Kamsosi kaliko andaliwa na wapishi kutoka nje.
Taswira ndani ya Ukumbi wa Transit Hotel The Walkgard.
Wadau wakijisevia msosi safi kabisa.
Mwanadada Nancy Nafsi pamoja na kumfanyia Suprise rafiki yake, pia aliweza kutoa zawadi nyingine.
Mwanadada Miss Alade akikabidhi zawadi yake kwa Birthday Girl
Miss Tete Agustino akikabidhi zawadi yake.
Dogo Muhazi 'Omwana Isaac'akielekea kutoa zawadi yake
Chief Cooker at Transit Hotel The Walkgard
Shughuli ndogo yenye ufanisi ikiwa inaendelea
Birthday Girl katika hili na lile.
IzaacMuhazi,Ash K Bin Amar(khalifa) na rafiki mkubwa wa Dyner kijana Mkhusin pichani kulia
Kadansee ya Kijana Muhazi Michael Mwemezi.
Theme nzima yaani idea za kumfanyia kabirthday party rafiki yao kametoka kwa Bibie Nancy Nafsa pichani kushoto kwa ushirikiano na Kijana Mkhusini kwa jina jingine Samla D Athman.
Kautaratibu ka kulishana Keki kakiendelea.
Kushoto ni Bi Aidah, maarufu kama Miss Alade kutokana na kufananishwa na Mwimbaji wa Nigeria Yemi Alade mwenye jina jina kubwa sana Tanzania
Kijana Samla D Othman akilishwa keki na Birthday Girl Dyner Van Jimmy.
Mrembo anayezaliwa leo Mdau Dyner ,maarufu kama Dyner Vann Jimmy akmlisha keki Bi Adila
Ni zamu ya Mdau Walter Rwey-Robert kulishwa Keki.
Ukodak Via Tecnol.
The Cakes
Kitu keki mezani
"Kuishi kwa furaha nayo ni sanaa kama zilivyo sanaa zingine duniani. Isipokuwa tu sanaa hii ya kuishi kwa furaha, siku zote huchezwa vyema na wale wenye uwezo wa kuivumbua furaha yenyewe kutoka katika vitu vidogo vidogo vyenye kuonekana vya kawaida sana kwa walio wengi"
Wanaonekana wenye nyuso za furaha sehemu ya washirika pichani
Mambo ya social networking
Ndugu Mike Muhazi akifanya Kutweet.
Matukio ya hapa na pale yakiendelea
Nikiwa LIVE TRANSIT HOTEL THE WALKGARD nakutana na Swali kutoka kwa mdau
MDAU WANGU: kaka Mc Baraka, kwanini usiwe unaandika habari za wasanii zaidi katika Blog na page yako kuliko matukio ya Bukoba zaidi na watu wa huko ambao naona umekuwa nao siku nyingi?
MIMI: asante kwakuwa rafiki yangu na mfuatiliaji mzuri wa post zangu. Kama ambavyo wewe umekuwa huru kueleza kile unadhani ninatakiwa niwe nakiandika, ndio ambavyo nami naamini niko huru kuandika kile ninachowaza katika blog na page yangu yangu. tatizo kubwa sana ni kuwa, ikiwa nitataka kuandika vile unataka, itamaanisha kuwa nimekuwa msemaji wako zaidi na sio msemaji wa hisia zangu.!
BUKOBAWADAU Blog inapenda kukupongeza mdau wetu Dyner kwa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwako, tunakutakia maisha mema, marefu na afya njema