MUDA MCHACHE ULIOPITA NA CAMERA YETU LEO AUG 8,2014
Ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba, Haki Street maarufu kwa jina la OneWay.
Hekaheka za hapa na pale zikiendelea katika mtaa huu maarufu kwa Wafanyabiashara wa bidhaa za Jumula.
Bidhaa mbalimbali zikiwa nje ya Maduka.
Akifurahi kukutana na Mwanalibeneke wa Bukobawadau Blog,pichani ni Bi Jocephine Olimi mzaliwa wa huko Kijijini Kaibanja -Katoro akiwa amerudi kusalimia numbani kutokea huko nchini Japan
Katika pitapita Mtaa wa One way Manispaa ya Bukoba
Mdau Rutta akiwasili Victorious Perch Hotel Bukoba
Sehemu ya Wadau jioni hii wakifurahia 'holiday' hapa Victorious Perch Hotel Bukoba.
Uso kwa uso na Mwadanada Lilian Fishe mfuatiliaji mzuri wa matukio ya hapa na pale,habari na mada zetu tangu akiwa Houston, Texas.(kupitia mtandao) kwa sasa kafika Bukoba kutembea .
Kama kawaida kwa kuzingatia umaalum wa Blog yetu na matukio kuyaweka katika kumbukumbu.
Katika kushow love mbele ya Camera yetu
Mzee Bayona akia maelekezo kwa Mdau pichani kuhusu style za Sylvester Stallone 'Rambo'
Anaitwa Hydaly akionesha furaha yake kwa Mzee wetu maarufu Mzee Bayona
Meza ya Bwana Alex, Mdau Ray Chelsea pichani kulia, Bwana Kashalaba Alanus na Mdau Mike.
Ndugu Mike Mwemezi Muhazi akipata Kahawa na wadau wengine wakiendelea na maongezi
Mwisho wa Matukio ya Wadau na Camera yetu muda mchache uliopita.8.8.2014