Bukobawadau

HARUSI YA ADELIUS MUTAYUGA NA FLORIDA KOKUTUMBULUKA YAFUNIKA

Ni  furaha kubwa kwa Bwana Harusi Adelius Mutayuka na Bibi Harusi  Florida Kokutumbulika mara baada Ibada ya ndoa takatifu iliyokuwa ikiendelea katika kanisa la RC Bukoba Cathedral lililopo barabara ya Jamhuri ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Hivi ndvyo  Bwana Haruzi Adelius Mutayuga mzaliwa wa Bugandika huko Igurugati alivyo weza kuonyesha utofauti kupita mfumo mzima wa shughuli yake ya harusi.
 Bi Florida Kokutumbuluka
Bwana na Bibi Adelius Mutayuga wakiwa ndani ya Kiwanja cha Transit Hotel The Walkgard kwa ajili ya picha za kumbukumbu mara baada ya ndoa yao iliyofanyika siku ya Jana Ijumaa Aug 1,2014 Katika kanisa la RC Bukoba Cathedral  
Matukio ya picha za kumbukumbu kabla ya kabla ya kuendelea na Tafrija ya kuwapongeza iliyofanyika katika Ukumbi wa Linas Night Club
Maharusi wetu katika pozi mbalimbali kabla ya Kuelekea Ukumbini kwa ajili ya bonge la tafrija.
Katika pozi na furaha muda mchache baada ya kudondosha wino wa kukiri kwamba walimaanisha kile walichokipanga mara baada Ibada ya ndoa iliyokuwa ikiendelea katika kanisa la RC Bukoba Cathedral 
 Hakika waependeza mno maharusi hawa.
 Mama mzazi Bwana Harusi,Bw. Adelius Mutayuga anasema; safi,'Mwanula Banabange'
 Ndivyo anavyo onekana Mpambe wa Bi Florida Kokutumbulika
 Sehetu yenye kupendeza @ Transit Hotel The Walkgard
 Naaam!! hii ni moja kati ya picha.
 Matron wa Bibi harusi katika hili na lile.
 Transit Hotel The Walkgard kwa mazingira safi yenye kupendeza kwa ajili ya picha.
Credit kubwa kwa uongozi mzima wa  Transit Hotel The Walkgard Bukoba.
Ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club Mwenyekiti wa Kamati ndugu Jamal akipokea zawadi yake ya keki.
Ndugu Kabyemela Rahym akionyesha kuvutiwa na kinacho endelea ukumbini, kulia ni Mr Kamuzora kaka mkubwa wa Bwana Harusi


Ndugu Jamal Kalumuna akikabidhi kiasi cha Shilingi Mil.2 za kitanzania kama zawadi ya Kamati.
Mweka hazina wa kamati ya maandakizi ya harusi.
Sehemu ya Wageni ukumbini.
Matukio ya usiku yanaendelea zaidi hivi punde
 Matukio ya Kanisani
Mdau katika kuwapongeza maharusi mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya Ndoa yao takatifu.
 Nje ya Kanisa ama kwa hakika ni full shangwe, furaha mdelemo vifijo na vikereshendo.
 Sasa ni Mr& Mrs Adelius Mutayuga.
Wanamelemeta Mr &Mrs Adelius Mutayuga
Mwenyekiti wa Kamati ya Usafiri ndugu Ruge akifuatilia Jambo.
 Msafara wa maharusi , katikati ya Viunga vya Mji wa Bukoba.
 Maeneo ya Beach kwaajili ya picha kadhaa .
Bibi harusi akionyesha pete yake.
Kushoto ni Mr Kamuzora, ambaye ni Kaka Mkubwa wa Bwana Harusi akishow Love na maharusi hawa


Bwana Adelius Mutayuga na mkewe Florida Kokutumbulika mara baada ya picha ya kumbukumbu maeneo ya fukwe za ziwa victoria.

Endelea kuwa nasi kwa Matukio Zaidi



Next Post Previous Post
Bukobawadau