HARUSI YA MWL PAUL MARIJO NA DEVOTHA KOKUSHUBILA,NYUMBANI KWA BW HARUSI,KIJIJI KIGARAMA KATA KANYIGO
Ndivyo wanavyo onekana Mwl Paul Marijo na mkewe Devotha Kokushubila wa kijijini Bushago Kashenye katika hafla ya kuwapongeza, baada ya kufunga ndoa kanisa la KKKT usharika wa Kigarama.
Sehemu ya wapambe wa maharusi wakiingia ukumbini
Bi harusi Devotha Kokushubila akiingia ukumbini
Bwana harusi mwl Paul Marijo,na Bi harusi Devotha Kokushubila wakiingia ukumbini,kila mmoja kwa pozi lake.
Pichani ni sehemu ya wanafamilia upande wa Bwana harusi
Mchungaji Diocles Mashongole wa KKKT usharika wa Kigarama akiongoza sala ukumbini
Upande wa Burudani kutoka kwa watoto
Mchakato wa kukabidhi zawadi kwa maharusi pichani ni mwakilishi wa mama Mzazi wa Bw.Harusi
Neno kutoka kwa Babu wakati kukabidhi zawadi yake kwa Bwana harusi