Bukobawadau

KARIBU NYUMBANI STUDIO KWA PICHA BORA (OUTDOOR PHOTOGRAPHY) @ MUJUBURO

Nyumbani Studio
Client: Sauda Galiatano 
Wedding Photography (kitchen Party)
Photography By Sir.loominc
 Pamoja na mambo mengine yote yanayo endelea kuna wakati, unataka mwisho wa siku  uwe na kumbukumbu bora ya siku hiyo.
Karibu Nyumbani Studio, hii ni  studio mpya na ya kisasa kabisa ambayo  imefunguliwa Mjini Bukoba wako jirani na Ofisi za Finca mkabala na lango la Soko la Ndizi watakutendea haki na kazi yako .
Muhimu kujuwa kupiga picha za mnato na zile zinazotembea ni taaluma mbili zinazorandana ila Nyumbani Studio ndiyo Chaguo sahihi kwa picha za Mnato kwendana na tekinolojia
Nyumbani Studio wana Uwezo uzoefu na Elimu ya kupiga picha.
‪#‎NyumbaniStudio‬ chaguo sahihi kwa muonekano wa kistaa
‪#‎ Nyumbani Studio wanao Wataalam wenye uwezo na kipaji cha kupiga picha na kuedit
 Mbele ya macho yako ni Sehemu ya Kazi za awali zilizofanywa na Nyumbani Studio.
Nyumbani Studio inakufanya unukie kiujana zaidi hata kama age yako imeenda
 NYUMBANI STUDIO TUPO KWA AJILI YAKO KWA KUBORESHA KAZI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau