MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME
Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi
akisisitiza jambo juu ya Mafunzo ya Mradi wa kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza
Athari Za Maafa katika Wilaya yake wakati
timu ya Wataalam Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania
na Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika walipo mtembelea Ofsini kwake kabla ya
kuanza mafunzo hayo leo, Hedaru Wilayani Same.
Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa
Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa kwa Mikoa
iliyoathirika zaidi na Ukame Bw. Harrison Chinyuka akisitiza umuhimu wa Mafunzo ya Utekelezaji wa Mradi huo kwa
Wataalam wa kutoka kata za Hedaru,
Makanya na Vunta (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo leo,
Hedaru, Wilayani Same (katikati) Afisa
Mtendaji Kata Hedaru, Bw. Jackson Mbwambo (kushoto) Mratibu Maafa Wilaya, Same,
Bw. Ally Mngwaya
Baadhi ya Wataalam katika Sekta ya Kilimo,
Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wakiwa
katika majadiliano ya jinsi ya
kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika
kata zao leo , Hedaru Wilayani Same.