MISA YA SHUKURANI KUMBUKUMBU YA KIFO BIBI ANGELINA GODWIN KIKUMI WA BWEYUNGE,KANYIGO
Matukio mbalimbali katika, Shughuli ya Ibada ya misa ya shukurani kumkumbuka marehemu Angelina Kikumi,wa Kijijini Bweyunge Kanyigo
Mdau Amani Kajuna katika mpango mzima wa kuchukua matukio kupitia ipad yake.Wanamgambo nao walialikwa kuangalia hali ya usalama wakati FOCUS ELECTRONICS wa mjini BUoba walipokuwa wanaporomosha 'mavituz'
Wazee,Fransis Tumbo(kushoto) na Joseph Tibesigwa,na kijana Willy Ndyetabula wakati wa misa
Mwalimu mkuu msaidizi wa The Shining ya mkoani Mbeya ,Yasin Khamis a.k.a Madani(mwenye kofia) akifuatilia burudani
Msimamizi mkuu wa familia ya marehemu Angelina Kikumi,ambaye ni mjukuu wake,Amani Kajuna na mkewe Leah(katikati) wakifuatilia,wakiwa na mishumaa
.Akina mama wa chama cha kitume wakishiriki misa
Kwaya ya mtakatifu cesilia iliyoimba wakati wa misa
MC wa hafla hiyo,mr Ngirwa akipata msosi
Ngoma ya ALUTAA a.k.a.a Akatanyukwile kutoka kata ya Ruzinga,wilaya ya Missenyi wakifanya vitu vyao
Msanii NSHOMILE FAMILY akitumbuiza na kushangiliwa vilivyo
Baada ya misa ulifuata utambulisho:Mwalimu mkuu wa The Shining English medium Primary school ya mkoani Mbeya,Hemed Mwanda alitambulishwa
Ngoma ya LUGOLOILE kutoka Bukoba mjini waliburudisha
Amani Kajuna akimtambulisha mkewe,Leah
Mhasibu wa shule ya The Shining,Lilia Kibona(kushoto),na mwanafamilia,Theopista Lushasi,wakijimwayamwaya