Bukobawadau

JACKLINE KIMAMO AWA MISS REDD'S KAGERA 2014!

Mshindi wa taji la Redd's Miss Kagera 2014  Miss Jacline Kimamo  mara baada ya kutwa taji hilo usiku wa leo katika shindano liliofanyika ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club
Redd's Miss Kagera 2014  Miss Jacline Kimamo ambaye pia  ndiye mshindi wa Miss Tarent.
Baby love Clara aliyekuwa Mshindi wa Miss Kagera 2012.
Mgeni Rasmi Ndugu Hamimu Mahamud,Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa Miss Redd' Kagera 2014
 Redd's Miss Kagera 2014  Miss Jacline Kimamo
Chief Judge  Mr Bube, akitoa ufafanuzi juu ya Vigezo vilivyotumika kumpata mshindi
Kushoto ni Abela Kamala(Judge no. 3),Mr Bube(Chief Jadge)na Lilian Peter Mwise(Judge no 2)
 Tano bora ya Warembo walioshiriki kinyanganyiro cha kumtafuta Redd's Miss Kagera 2014
Miss Kagera 2012 Miss Babylove Crala akiwa tayari kukabidhi taji hilo kwa mshindi wetu wa leo
Katikati ni Miss Redd's Kagera Miss Jackline Kimamo kushoto ni Mshindi wa tatu  Miss Faudhia Haruna na kulia ni Mshindi wa pili MissNyangi Warioba
 Mutesi Karen mshiriki wa Miss Redds'Kagera 2014  akijibu swali
 Miss Tete Augustine Mshiriki wa Miss Redd's Kagera 2014

 Mshereheshaji wa shindano hilo akiwajibika.
Miss Tete Augustino Mshiriki wa Miss Redd's Kagera 2014 akijibu swali.
 Miss Tete agustino akitoa maelezo katika vazi la ubunifu.
 Warembo wakipita jukwaani na vazi la usiku.
 Baada ya ufunguzi rasmi wa Shughuli hii, warembo wanapandani jukwaani kwa show ya ufunguzi
Katika pozi moja matata anaonekana Miss Mutesi Karen Mshiriki kutoka Kashai
Mshindi wa pili Redd's Miss Kagera 2014, Miss Nyangi Warioba akijibu swali
Warembo katika vazi la Usiku.
 Miss Tete Augustine katika vazi la ubunifu
 Warembo kwa pamoja katika Vazi la Usiku.
 Mchanganyiko wa matukio mbalimbali ya Warembo jukwaani
 Miss Redd's Kagera 2014 Katika kinyanganyiro cha Miss Tarentl
 Matukio zaidi yanapatikana katika ukurasa wetu wa Facebook 'Bukobawadau Entertainment Media'
 Miongoni mwa watu maarufu, yupo Mama Lugusha pichani kushoto na Dada Laty pichani kulia
Sehemu ya wadau wetu muhimu yupo Dada Grace Rwihula, Mama Chui na Londoni na Bi Maua
 Warembo wote wakipita jukwaani kuonyesha vazi la usiku
 Warembo wote wakipita jukwaani kuonyesha vazi la usiku


 Kundi zima la Dream Girls kutoka Nchini Ukanda likishambulia jukwaa.
Mwanadada muimbaji wa Kundi la Dream Girls akiwadatisha mashabiki.
Hivi ndivyo wanamuziki wa Dream Girls walivyodhihirisha namna ya Ushezaji wao
Shabiki akishindwa kujizuia.
Mashabiki wakicheza na kufurahi pamoja na wanamuziki wa Kundi la Dream Girls
Show kali na yakusisimu kutoka kundi la Dream Girls ikiendelea kuwasindikiza Warembo.
 Mchepoko No ni maneno kutoka kwa mchekeshaji wa kundi la Futuhi
Wasanii  maarufu wa kundi la Futuhi wameweza kukidhi kwa kutoa bonge la burudani kwa mashabiki
 Kushoto ni Mwanadada maarufu Anitha Jimbihile na kulia ni Mdau Didas Zimbihile.
 Mwanalibeneke wa Bukoba Sports, Mdau Faustine Rutta akifanya ukodak
Wadau wakiendelea kupata raha ndani ya kiota cha Linas Night Club.
Watu ukumbini wakiendelea kufuatilia ashindano ya kumsaka mrembo wa Kagera 2014.
 Mkurugenzi wa Lweru Entertainment, Ndugu Mwahasa pichani kushoto, na Bwana Bushira.
Mr Mr Christopher Meneja wa The Walkgard Transit Hotel
Katikati ni Bi Anitha akifuatilia kinachojili.

 Husna Waziri pichani kushoto.
 Mchakoto wa kumtafuta Mshindi wa taji la Redd's Miss Kagera 2014 ukiendelea, na mshindi ni Miss Jacline Kimamo.
Taswira  ukumbini watu wakiendelea kufuatilia  Shindano la kumtafuta Redd's Miss Kagera 2014
Mgeni Rasmi pichani Ndugu Hamimu Mahamud,Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Kagera
 Msanii wa futuhi akiwajibika kwa hisia kali
 Mzee wa Kigoma jukwaani
 Sehemu ya Wadau ukumbini
Bi Devotha mwana wa Geans pichani katikati
Taswira wadau wakiendelea kufurahia show .
 Bukobawadau BLOG katika ubora wa matukio yaliyojili katika Shindano la kumtafuta Miss Redd's Kagera 2014.
 Mratibu wa Mashindano haya Ndugu Jamal Kalumuna(Jamco) katika hitimisho
 Wasanii maarufu wa kuchekesha kutoka kundi la Futuhi wakifanya yao
Yote tisa,kumi ni makamuzi 'Yahakabi'ya hatari kutoka kwa Wasanii wa Dream Girls.
 Matukio haya na mengineyo zaidi tembelea ukurasa wetu wa facebook kupitia link hii.






Next Post Previous Post
Bukobawadau