PICHA ZA POLISI FEKI ALIYE KAMATWA DAR
Polisi
huyu kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio ni kuwa alikuwa mtumishi wa
jeshi la polisi miezi miwili iliyopita ila akatimuliwa kwa utomvu wa
nidhamu
Lakini aliendelea kutumia nguo za jeshi hilo kimakosa ndipo watu wa usalama walipomnyatia na kumtia mbaroni huko charambe akikamata na kuchukuwa fedha za waendesha magari na pikipiki kimakosa.
Hivi ndivyo mkanganyiko wa matukio unavyo endelea nchini,kuna siku tulisikia alifukuzwa kazi mtu aliye ritire .!!