Bukobawadau

RUGE AWAKARIBISHA WASANII WA FIESTA KIJIJINI KWAO KABALE-BUKOBA

Mzee kwa kutambua ubora wa msanii BK Sunday
Msanii  maarufu hapa nchini akijulikana kama Ommy Dimpoz akifurahia jambo mara baada ya kusalimiana na Mzee Masabala.
Dj Fetty baada ya kusalimiana na Mzee Masabala nyumbani kwake Kibeta.
Kabla ya kuelekea Kijijini Kabale, Wasanii walipitia kumsalimia Mzee Masabala nyumbani kwake Kibeta ambapo aliweza kuwaalika  kutembelea Shule ya Josian Girls High School mapama ya leo ikiwa Mgeni Rasmi ni Mh. Balozi Hamis Kagasheki Mbunge wa Bukoba Mjini
Mmoja ya washindi wa serengeti fiesta super nyota 2013 Edd Booy akifanya yake
Ommy Dimpoz akiimba kwa hisia kali wimbo wake wa Nani KamaMama
 Watangazi wa Clouds TV.
 Ripota wa kipindi cha Power Break Fast cha Clouds  Fm Radio,Said Bonge
 Bonge akihojiana na mmoja wa Wadau wa Kijijini hapa
Kutoka kushoto ni Msanii Ney Wa Mitego,Jux na Herry Sameer aka Mr Blue
 Mtangazaji wa kipindi cha Hekaheka Gea Habib
 Mtangazaji wa Clouds FM Hamis Mandi A.K.A B12, B Dozen, Twangala Twizzy a.k.a The Navigator
Mtangazi Fetty aka Fetilicious
Mwanalibeneke Gsengo katika ukodak wakati Dj Fetty akiendelea kujitambulisha kwa wakazi wa Kabale-Bukoba
 Msanii Mr Blue.
 Fiesta super nyota mwaka 2013 G. Lucky
 Fiesta super nyota 2013 K-Styhe aki
Sehemu ya waalikwa wakifuatilia kinacho.
 Msanii wa muziki nchini Linah Sanga akitoa Salaam na burudani katika hafla ya chakula cha jioni Nyumbani kwa Mzee Mtahaba Kijijini Kabale.
Christian Bella.
Ommy Dimpoz akisalimiana na wakazi wa Kijiji cha Kabale
Msanii 'Home Boy' Bk Sunday akipata huduma ya Chakula.
Anaitwa Dj Zero.
Linah na Recho wakipata chakula.
Rais wa Manzese, Hamad Ally 'Madee'akipata msosi safi kabisa ulio andaliwa nyumbani kwa Mzee Mtahaba.
BK Sunday akionyesha uwezo wake wa 'Kuchenkula' ngoma ya kihaya
Hakika ni hali ya burudani kwa watu wote walioshiriki katika hafla hiyo
 Msanii Mahiri wa kikundi cha Kakau Band akiwaacha wasanii na mashabiki midomo wazi na kupelekea kupewa nafasi ya kupata nafasi ya kuburudisha katika tamasha la Fiesta 2014 linalofanyika hii leo katika uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba
Moses Nyama akiendelea kufanya yake
Sehemu ya mashuhuda kijijini hapo

 Madee na mistari yake akiburudisha mashabiki 
SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO.............NI SHEEEEEDAH!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau