ATHARI ZA MAAFA YA UKAME ZINAPUNGUZIKA
Mkurugenzi Mtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi. Jane Mutagurwa akiwasisitiza Wataalam
katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Mwamalasa, Masanga
na Langana Wilayani Kishapu jana, wakati
alipofungua mafunzo ya jinsi ya
kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika
kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba,
2014.
Wataalam wa kata ya
Langana Wilayani Kishapu, katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na
Utawala wakiwa katika majadiliano ya
kubainisha aina ya Maafa yanayoathiri kata yao, wakati wa mafunzo ya
jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa
katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.
Wataalam wa kata ya
Mwamalasa Wilayani Kishapu, katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na
Utawala wakiwa katika majadiliano ya
kubainisha Changamoto wanazopata wakati wa kukabili maafa yanayoathiri kata yao wakati wa
, mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa
kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi
ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa
Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.
Wataalam wa kata ya
Masanga Wilayani Kishapu, katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na
Utawala wakiwa katika majadiliano ya kubainisha
Mbinu wanazotumia kukabili maafa yanayoathiri kata yao, wakati wa mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi
Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao, mafunzo
hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,
Idara ya Uratibu wa Maafa kwa Tarehe 1-5 Septemba, 2014.
Mkurugenzi Mtendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu, Bi. Jane Mutagurwa (wa pili Kushoto walio
kaa) akiwa katika picha ya pamoja na
wakufunzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika pamoja na Wataalam kutoka Kata ya
Masanga, Mwamalasa na Langana mara baada ya
kufungua mafunzo ya jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo
wa kupunguza Athari Za Maafa, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri
Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa kwa
Tarehe 1-5 Septemba, 2014.