BALOZI KAMALA ATEMBELEA KAMPUNI INAYOTENGENGEZA NYUMBA ZA MBAO ZA GHARAMA NAFUU
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (aliyevaa
miwani) akiwa katika picha ya pamoja na wamiliki wa kampuni ya Ubelgiji
inayotengeza nyumba za mbao za gharama nafuu. Wa pili kulia ni Afisa
mfawidhi wa Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji Bwana Nyamtara Mukome. Ziara
hii imefanyika leo mjini Charleroi Ubelgiji.