CHECK VIDEO SHOW YA MSANII CHAMELEONE SEP 25,2014 NDAN YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA
Check sehemu ya Video hapa chini Show ya msanii nguli wa muziki kutoka nchini Uganda, Dr.Jose
Chameleone ilivyo acha historia usiku wa sep 25,2014 Mjini Bukoba.
KWA PICHA ZAIDI INGIA HAPA NA TUPIA LIKE KATKA UKURASA WETU HUU>Bukobawadau Entertainment Mediahttps://www.facebook.com/Bukobawadau