Bukobawadau

FIKA KABAGO SHOP KWA MAHITAJI MBALIMBALI

 KABAGO SHOP  Bukoba Wasambazaji na wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali.
 Ndani ya KABAGO Shop utapata kutimiziwa haki ya kuchagua aina mbali mbali ya bidhaa na huduma zenye ubora wa kutosha kwa bei nafuu kabisa.

 Kabago Shop ndio wauzaji wa aina mbali mbali za mizani zinazotumika katika kupima uzito wa bidhaa.
 Kwa mahitaji ya aina mbali mbali za mizani zinazotumika katika kupima uzito wa bidhaa,Wasiliana nao kupitia +255 784 767 636
 KABAGO Shop pia ni wauzaji wa bidhaa za nyumbani kwa bei nafuu
Ndugu Mkulima, ndugu mfanyabiashaa ,ndugu mnunuzi na muuzaji wa bidhaa za Viwandani kwa maendeleo yako binafsi na kwa maendeleo ya Taifa,katika kupata haki yako inategemea na mizani yenye ubora kwa vipimo sahihi
Wapo Haki Street /Barabara ya Oneway jirani kabisa na Duka la Step Inn lilipo Jengo la kitega uchumi la Chama Kikuu cha Ushirika (KCU Ltd)KCU mjini BUKOBA.
Next Post Previous Post
Bukobawadau