HALI HALISI MJINI BUKOBA SEP,2014
Shuleya kwanza ya wasichana ya Rugambwa
The View over Lake Victoria
Moja ya mjengo wenye muonekano wa wa kipekee iliyopo katikati ya kilima cha Kashura.
Mhali hapa ni katikati ya kitovu cha Kilima cha Kashura, ndivyo inavyo onekana nyumba yenye muonekano wa Kifalme 'Ekikale' ikiwa bado shughuli za zinaendelea
Muonekano wa upande wa kulia wa Nyumba hii kwa kutokea nyuma kuelekea mbele.
Muonekano wa Sehemu ya Nyuma,hii inaonyesha Mwenye nyumba anaweza kushuhudia taswira ya mji wa Bukoba,muonekano wake wa asili huku ukifurahia upepo mwanana toka ziwani Victoria.
Muonekano wa Mjengo mwingine wenye Kuvutia ukiwa Umepakana na Majengo ya Shule ya Wasichana Kajumuro ,'Kajumuro Girls High School'
Hakika ni nyumba bora ya kisasa na yenye kuvutia ikiwa na Vigezo vyote .
Kwa kukamilisha Nyumba hii ipo kwenye mazingira ya kuvutia na yenye utulivu.
Muonekano wa jengo la 'Kajumuro Girls High School' kwa nyuma
Tunakutana na Nyumba ya ghorofa ikiwa imezungukwa na Vibanda vilivyo katika mpangilio maalum.
Ndivyo inavyo onekana Nyumba hii iliyozungukwa kuzungukwa na mimea ya kitropiki, ya kijani yenye kuvutia, na Vibanda vinavyo onekana kutanda katika sehemu kubwa ya Uwanja Vi apartment kadhaa pamoja na mambo mengine hapa patakuwa na mioundombinu kama Hoteli ,Ukumbi wa mikutano na mambo mengine yatakakayo pelekea Bukoba kuwa na kitu kingine cha ziada cha kujivunia.
Mbele, ghorofa hii ina ki-apartment cha vyumba vitatu vinavyopangishwa .
Sehemu ya Majengo mengine 'Apartment' yanaonekana wazi kwamba ni majengo ya kisasa na yanafaa
Muonekano wa mandhari nzuri ,taswira ya Mji wa Bukoba ,na kingo za Ziwa Viktoria
Muonekano wa Juu Majengo ya Perfect Hotel Bukoba.
Perfect Hotel Bukoba , maarufu kama kwa Pajero iliyopo eneo la Anyaka Kibeta.
Ni hotel inayotoa huduma bora ya Malazi Chakula,Vinjwaji pia ina ukumbi wa mikutano
Eneo la Kaunta ya Bar ,Perfect Hotel
Jengo lililopo kwa Nyumbani kwa Mama Anna Kajumulo Tibaijuka
Barabara ya Migera.
Hii ni nyumba inayopangishwa/Kodishwa ipo mitaa ya Migera na inafaa kwa nyumba ya kuishi
Nyumba inakodishwa ina Chumba kimoja masters,Vyumba viwili vya kawaida,ina nafasi ya kutosha,maji na umeme,heater katika vyoo vya master,sebule kubwa,Choo, Jikoni na ipo katika sehemu yenye utulivu,kwa mawasilano unaweza kuwasiliana nasi.
Endelea kuwa nasi tunatumainu katika yote Mtafurahi na BUKOBAWADAU hasa kwa wale mnaopenda kujua hali halisi ya Mji wa Bukoba na Maeneo Jirani kwa Ujumla.