Bukobawadau

HAPPY 14TH WEDDING ANNIVERSARY TO MR & MRS DATUS RWIHULA

 Leo ni kumbukumbu ya agano la ndoa kati Bi Grace Rwihula na Mme wake mpendwa Mr. Datus Rwihula ikiwa ni miaka 14 iliyopita.
Kupitia Status ya WhatsApp na account yake ya Instagram Mr Datus ameweka picha akiwa na Mkewe na kuandika ujumbe wenye maneno yasemayo;"It's 14th years since I found my other half,..I love Grace "
 Kwa upande wake Bi Grace akiongea na Bukobawadau amesema;'Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu. Ni jambo ambalo sijawahi kulijutia katika miaka yote 14  niliyoishi naye. Nazidi kumwomba Mungu tuzidishe upendo katika haya maisha tuliyoyachagua' hakika upendo wa kweli “haushindwi kamwe.”

BUKOBAWADAU BLOG  Tunawapongeza sana na kuwatakia maisha marefu zaidi ya ndoa pamoja na baraka zitokazo kwa Mungu ziambatane pamoja nanyi siku zote.
  Happy 14th Wedding Anniversary!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau