JIHAN DIMACHK NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TOP MODEL 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top
Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen
Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania
Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na
Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan
amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada
ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika ukumbi
wa Triple A jijini Arusha na kuwashirikisha warembo 30..Picha zaidi bofya /Father Kidevu Blog