Bukobawadau

KAMACHUMU YETU AUG 31,2014

 Camera yetu ndani ya Mji wa kihistoria wa Kamachumu
 Kamachumu ni moja  ya Kata iliyopo  Wilaya ya Muleba katika Mkoa wa Kagera
Bugonzi Water falls,haya ni maporomoko ya maji yaliopo Kamachumu ,maeneo ya hospitali ya misheni ya ndolage.
Maporomoko haya utumiwa na Hospitali ya Ndolage  kwa kuzalisha umeme,ingawa hata Umeme wa  TANESCO upo na unaendelea kutumika.
 Bugonzi ni sehemu ambayo kwa mawazo ingewekewa mikakati ya kuiboresha na kuwa miongoni mwa vivutio vya utalii.maana ukifika pale ni sehemu vizuri sana.
Daraja la  Kyabakoba 
Maporomoko ya Maji Bugonzi Ndolage Kamachumu.
 Kuelekea Ndolage Hosp.
Jengo la kwanza la Ghorofa kijini Kamachumu  1958 Kwa Marehemu Haji Mahamudu Birundulu
Mwisho wa rami ,barabara ya Ibura.
 Mdau Hamadi  kama alivyokutwa na Camera yetu maeneo ya Kamachumu
Taswira mbalimbali vijiji vya ndani ya Kata ya Kamachumu.
 Hekaheka zikiendelea eneo la kibiashara Milama Kamachumu.
 Jengo la Chama cha Ushirika Kamachumu
 Nyumbani kwa Mzee Ally.
 Msikiti wa Ijumaa Uliopo Kamachumu
 Shughuli za Kibiashara
 Stendi ya Mabasi  Kamachumu
 Jengo la zamani la Ushirika.
 Mlima Ruhanga ,usawa wa barabara ya Kasiko Kamachumu
 Muonekano wa Mlima Ruhanga
Kanisa la Kilotheri Ibura Kamachumu

 Bango la Shule ya Msingi Ibuga Kamachumu.
Njia panda kushoto barabara  inaelekea  Ruhanga, Rubya,Ihangiro mpaka Muleba,upande kulia inaelekea Rutenge,Nshamba,Biirabo,Kabale,Kishanda,Buganguzi na maeneo ya jirani


Next Post Previous Post
Bukobawadau