Bukobawadau

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 CALL FOR ENTRIES


Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA- 0715471412); IRINGA na MBEYA ( VERONICA KILEMILE- 0782488030); ARUSHA (GADIOLA 0715643633/0784643633) na DAR ES SALAAM waone au wasiliana na  (SEIF KABELELE/MWANAKOMBO SALIM - 0655441165/0713302075) Ukiona tangazo hili mjulishe na mwenzio.
RATIBA YA USAILI. 
Yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi, Kama wewe ni mrembo mwenye vigezo vyote usisite kutimiza ndoto yako na ratiba ya usaili ni kama Ifuatavyo:- MWANZA tutakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri. ARUSHA Tarehe 12/09/2014 MBEYA NA IRINGA Tarehe 16/09/2014 na DAR ES SALAAM itakua tarehe 19/09/2014 Ukumbi na muda mtatangaziwa punde. Kwa maelezo zaidi piga namba 0655441165/0713302075


Next Post Previous Post
Bukobawadau