Bukobawadau

MTIKISIKO WA JOSE CHAMELEONE NDANI YA CLUB LINAS BUKOBA

 Msanii mkubwa wa Africa Joseph Mayanja a.k.a Dr Jose Chameleone kutoka Uganda akizua taflani na kashehe baada ya kuanza kurusha hela na kuwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya Kiota cha maraha Linas Night Club Bukoba
Msanii Jose Chameleone akiwaimbisha mashabiki ndani ya Ukumbi wa Linas Nght Club
Msanii Jose Chameleone akiimba sambamba na Mashabiki wake.
Show ya Dakika 30 tu kutoka kwa Jose Chameleone  ikitosha  kuwapagawisha Mashabiki.
 Mahafudh Lushaka pichani Kushoto na Omg Mohamed Lushaka wakifuatilia show
 Mr & Mrs Willy Kiroyera Rutta
Maukodak  yakichukua kasi kwa Msanii Jose Chameleone ambaye anatumia mara nyingi lugha ya kiganda na kiswahili kwenye kuimba nyimbo zake
 Mashabiki Ukumbini
Mc Amani Kabuga akiwajibika
 Kushoto ni Mama Deka  na Bi Betty Nangai
Shangwe za show ya Msanii DR. JOSE Chameleone  zikiendelea..
Bibie Sharifa Karwani katika pozi
 Wakati  Mashabiki hawajakata kiu ya burudani.
 Ndo kwanza mambo yameanza kupamba moto...!
 Mzee wa Masauti wa Bukoba.
  Msanii kutoka lebo ya Leone Island inayomilikiwa na Nguli wa Muziki Afrika Jose Chameleone
 Sehemu ya Mashabiki waliofika ndani ya Linas kupata burudani
Tupo na Mwakirishi wa SHABUKA GENERAL TRADERS. Bukoba, P.O. Box 696, Kagera +255 (28) 2220101 0784 750139 / 0754 750 139. STATIONERY & OFFICE SUPPLIES.
  Mashabiki ukumbini wakipata ukodak
Mashabiki wakiendelea kupata raha ndani ya Linas
Katikati ni Mzee Kelvin , Mkurugenzi Space Beach Motel
Mdau Folo pichani kushoto na Kaka Mkuwa Mr Patty aka 'Wella'
  Msanii  Jose Chameleone akiendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa muziki
 Tubonge  ikiendelea kuchukua kasi
 Dj Max wa Linas Club pichani kushoto akiweka usawa na Mmoja ya Crew iliyo ongozana na Msanii Jose Chameleone
Matukio ya usiku wa Tubonge na Jose Chameleone
Shangwe za show ya Msanii DR. JOSE Chameleone ndani ya Linas Night Club Bukoba
Sehemu ya mashabiki.
 Shangwe mwanzo mwisho...
 Ngoma ya 'Bayuda' ikimfanya 'Uncle Tommy'kuweweseka.
Jose Chameleone kutoka nchini Uganda akiwa na Shabiki wake.
 msanii Dr. Jose Chameleone kutoka nchini Uganda akiwa na shabiki wake wakishow love
 Rehema Ridhione na Mussa  (Wu Tang)
Taswira mbalimbali ukumbini
 Mr & Mrs Mahafudh Lushaka
 Mr & Mrs Mohamed Kikwemu pichani
 Katika kushow love na  mmoja wa mashabiki wake
Hakika watu kibao wamejitokeza kushuhudia show hiyo.
DR. JOSE Chameleone akiendelea kuwajibika ndani ya Linas Night Club Bukoba
  Msanii Dr. Jose Chameleone kutoka nchini Uganda akiwa na mashabiki katika kushow love
 DJ 4 life ni Maneno ya Mkurugenzi wa 24 dj 's katika picha na Dj Sley .
 Bibie Sharifa Karwani akifanya mambo yake wakati show ikiendelea kwa  kumtunza fedha kibao ambazo hakika zilimpagawisha msani na kumshangaza Msanii
 Mara baada ya kufanya yake Bibie Sharifa Karwani ndipo Msanii Jose Chameleone akamuomba wapate picha ya pamoja
 Pichani anaonekana Masikini halali mchana,
 Mmoja wa wasanii chipukizi waliopo kwenye lebo ya Leone Island chini  ya Jose Chameleone
 Mr Linus na Mdau Mwinyi Six pichani
 Mdau Kijigo na timu yake wakishow love mbele ya Camera yetu
 Heka heka za hapa na pale na Shangwe za Msanii Jose Chameleone
 Pichani kushoto ni Mdau Gerald Ishebabi
Mwanadada Mayaulla kama kawaida jukwaani
 Hivi ndivyo Show ya msanii nguli wa muziki kutoka nchini Uganda, Dr.Jose Chameleone ilivyo acha  historia usiku wa sep 25,2014 Mjini Bukoba.
 Valuvalu LIVE...!
Show hii ililikuwa na mwitiko mkubwa sana , licha ya kuwa na maandalizi ya kusuasua.
 Watu mbalimbali wakitumia fursa namna wajuavyo......!
  Nyimbo kali za Msani Dr.Jose Chameleone zikimfanya  kila mtu mzuka kuwa juu na kucheza !
  KWA PICHA ZAID YA 100 INGIA HAPA> Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau