MZEE MOI ATIMIZA MIAKA 90
Rais mstaafu wa Kenya Daniel Moi anatimiza miaka 90 hii leo na vyombo
vya habari vimekuwa vikimzungumzia kwa wema na hata kumsifu.
Kunao wanaomuona mzee Moi kama mtu muovu hasa wale walioteswa chini ya uongozi wake lakini pia kunao wanaompenda mzee Moi wakisema alitawala Kenya kwa uzalendo mkubwa. Je nini kumbukumbu yako kubwa kumhusu mzee Moi alipokuwa mamlakani?