RAIS KENYATTA ATEMBELEA KIKOSI CHA KENYA'S PLEDGED FORCE'
Rais Uhuru Kenya wa Kenya akisaini katika kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Kambi ya mafunzo ya Kikosi cha anga KPL.
Rais Uhuru Kenyatta kwa siku ya Jana Sep 5,2014 alitembelea Kikosi cha Anga cha KPF (Kenya's Pledged force')kinachoendelea kufanya mazoezi na kutoa mafunzo katika kambi Samburu nchini Kenya
Kikosi cha KPF kinaendelea kutoa mafunzo kwa ajili ya kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ikiwa ni sehemu ya mpango wa Nchi za jumuiya ya Afrika wenye lengo la kuhamasishwa, kutatua migogoro yao wenyewe na kudumisha amani barani.
Rais Kenyatta akifanya tathmini juu ya Uwezo wa KPF kabla ya kuhalalisha kutumika katika umoja wa Afrika
Kwa umakini mkubwa Rais Uhuru akifuatili mazoezi ya Kikosi cha KPF
Mwisho Rais Kenyata ametoa pongezi kubwa kwa KPF pamoja kulidhishwa na Uwezo wa mafunzo na mazoezi .
Rais Kenyatta akifanya ukaguzi mbalimbali wa vifaa vya Kijeshi
MWISHO.