Bukobawadau

RC AMPONGEZA MZEE ALHAJI ABBAKARI GALIATANO KWA KUTIMIZA UMRI WA MIAKA 85

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.Mh.Fabian Massawe ameshiriki katika ya Mzee wetu Haji Abbakari Galiatano,iliyo andaliwa kwa ajili ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa kumwezesha kutimiza miaka 85. 
Mh. Massawe ametoa pongezi hizo kwa Haji Abbakari Galiatano na kumkabidhi zawadi na kusema kwamba ;'anatambua umuhimu wake katika historia kwa ushirikiano wake naViongozi wetu katika kudai uhuru wa Tanganyika '
 Dua ya Shukrani imefanyika katika viwanja vya Masjid Nusurath,Kijijini  Buganguzi -Muleba Jumapili Sep 14,2014.
  SEHEMU YA VIDEO MKUU WA MKOA AKITOA ZAWADI.
Next Post Previous Post
Bukobawadau