Bukobawadau

KIJIJINI BUGANDIKA TASWIRA MAZISHI YA BI LEOKADIA NYAMWIZA BUJENDE SEP 17,2014



Kijijini Bugandika Missenyi,Padre akiongoza ibada ya mazishi ya  Marehemu Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende iliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Bugandika Wilaya ya Missenyi

Waumini wa madhehebu mbalimbali,Waumini wa kikatoliki na Masister wakishiriki Misa ya kumuaga Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza.

 Waumini wa Kikatoliki wakiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende

Ibada ikiendelea kama ilivyo taratibu..
 Mama Kataruga pichani akiendelea kushiriki Ibada
 Sehemu ya Waombolezaji wakiendelea na Ibada, Kupia ni Ndugu Thomas .
Wadau kutoka maeneo mbalimbali, pichani katikati ni Ndugu Shumbu.
Padre akiendelea na Utaratibu wa Ibada
 Kutoka Mjini Bukoba wanaonekana Wanachama wa Mmmoja waWanafamilia  'Abazigu'
 Ndugu Ben Kataruga akishiriki Ibada ya Mazishi ya Bi Leokadia N. Bujende


 Watu wakiwa wenye simanzi nzito wakati wa mazishi
 Mr. Cathbert Basibila wakati wa Ibada ya Mazishi.
 Wakati nyimbo za mapambio ya wakati wa msiba zikiendelea
 Waumini wa Dini ya Kiislam eneo la tukio.
Al Amini Abdul, kama anavyo onekanaka pichani
Ibada Ikiendelea
Taswira ukumbini Waumini wakiendelea na Ibada.
Wakazi wamaeneo mbalimbali Wilayani Missenyi wakiendelea kushiriki  Ibada ya Mazishi hayo
 Shughuli ya Ibada ya mazishi ya Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende
 Bi Adelina na Bi Fatuma wameweza kushiriki katika Shughuli ya mazishi hayo

Watu wengi wameweza kuhudhuria Mazishi ya Bi Leokadia Nyamwiza Bujende
  Mapadre Wawili wakiongoza Ibada maalumu ya mazishi hayo.
  Ibada ya Mazishi ya Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende iliyofanyika Kijijini Bukandika siku ya jana Sep 17,2014 ikiwa inaendelea
Wazee wetu wakiendelea kushiriki Ibada ya kumuaga Bibi yetu
Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende
Mahubiri yakiendelea kama utakavyoweza kuona na kusikia kupitia video iliyopo mwisho.
 Ibada  ya mazishi ikiendelea.
 Ni muda wa kushuhudia.
 Mtoto wa Marehemu akiwa katika wakati mgumu wakati wa  kushuhudia mwili wa mama yake.
Foleni kubwa ikiendelea wakati wa zoezi la kushuhudia mwili wa Marehemu
Jeneza linafungwa baada ya zoezi la kushuhudia kukamilika.
 Jeneza lenye mwili wa Bi Leokadia Nyamwiza Bujende likiingizwa kaburi
 Jeneza likiingizwa kaburini
 Padre akiongoza kuweka  udongo kaburini kama Ishara ya kumuaga
 Padre wa pili akafuatia kuweka udongo kaburini.
Kwa simanzi kubwa Mmoja wa Wajukuu wa marehemu Leokadia Nyamwiza akiweka udongo kaburini
Ndugu, jamaa na marafiki wakiweka udongo kaburini

Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa wafiwa wote,tunawaombea amani na faraja katika wakati huu
 Apumzike kwa Amani Bibi yetu Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza Bujende
 Shughuli ya kuweka Udongo ikiendelea


 Mh. Amoud Migeyo Diwani kata Bugandika Missenyi akishiriki katika mazishi hayo.
Ndugu na Jamaa waliohudhuria wanaweka udongo kwenye kaburi
 Ndugu wa familia na Watoto wa Marehemu wakiweka mashada ya maua kwa pamoja.
 Utaratibu wa kuweka Mashada ya maua ukiendelea
Sehemu wa Wadau Wakishuhudia kwa mbali maziko.
Wananchi waliojitokeza kushiriki mazishi hayo
Mmoja wa waombolezi pichani
Ndugu Ben Kataruga akishiriki katika Maziko Marehemu Bi Leokadia Nyamwiza,aliyekuwa ni alikuwa ni Mama Mkwe wa Kaka yake .
Taratibu za mazishi zikiendelea ..
 Utaratibu wa mashada ya maua
Simanzi na ukakasi katika moyo wa wafiwa wakati wanaweka Mashada ya maua
Nyumba ya Milele ya Bi Leokadia Nyamwiza Bujende
 Sehemu ya Wanafunzi wa Shule Jirani .
 Mdau Al Amini Abdul, Swahiba ameweza kushiriki kikamilifu shughuli ya Mazishi hayo

 Sehemu ya Maegesho ya Magari.
 Mr Cathbert Basibila akiwajibika.

CHECK HAPA SEHEMU YA VIDEO IBADA YA MAZISHI IKIENDELEA KWA PICHA ZAIDI GONGA HAPA >>Pata matukio mengine ya picha zaidi ya 100
BUKOBAWADAU BLOG tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia hii.
Poleni na msiba huu,Tunawaombea amani na faraja katika wakati huu
Next Post Previous Post
Bukobawadau