WAZIRI NAGU ABADILISHANA MAWAZO NA WAMILIKI WA VIWANDA WA WETTEREN UBELGIJI
Waziri wa Uwekezaji na Uwezashaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu
akibaldilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada
ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi ya Viwanda. Jana Waziri Nagu
alibainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizo Tanzania katika
Kongamano la Biashara liloandaliwa na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji
kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Kongamano hilo
lilifanyika jijini Brussels Ubelgiji.