CHECK OUT YALIYOJIRI HARUSI YA RUGA BARUTI & IRENE KAYUGA
Matukio yaliyojili katika harusi ya Mr Ruga Baruti na Bi Irene Kayunga iliyofanyika siku ya Jumamosi Sep 13,2014 Jijini Dar es Salaam.
Katika kumthamini mmewe Bi Irene anaonyesha vitendo vya kimapenzi na kumnongonza maneno haya;'Akajuga omu ngoma kamanywa omubambi',ni maneno ya kinyumbani yenye Ujumbe mkubwa ndani yake.
Kwa hisia kali Mr Ruga anambusu mke wake ,anaoshesha kuridhika na kumwambia kinyumbani et 'Akake kazira omulisho'
Muonekano wa kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
Ndani ya Kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach .
Ndani ya Kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
Wakivishana pete zao za ndoa katika Kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
Bi Irene Kayunga akisaini cheti cha ndoa
Mr.Ruga akisaini cheti cha ndoa .
Mara baada ya kufunga ndoa takatifu katika kanisa la kilutheri usharika wa mbezi beach jijini Dar es salaam
Katika dimbwi la mahaba na mazingira ya tabasamu ndani ya mioyo ya wawili hawa kuwa pamoja..!
Hongera sana Mr.Ruga kwa kumdhibitishia Mkeo Irene kuwa yeye ndiye Malkia wa ufalme wako
Muonekano sahihi wa Bi harusi ,hakika Irene kapendeza kwa make-up na mtindo ya nywele zake.
Daaahh ,kweli Irene unamvuto, tunachoweza kusema ni kwamba hongera yako Mama!!
Moja kati ya Style kali ya ubanaji wa nywele tuliyopata kukutana nayo
Bi harusi alivyotulia na wapambe wake,hakika kachomoka vyema na hilo gauni lake,So amazing!!
Ndani ya Ukumbi wa Ledger Plaza (Bahari Beach)
Mambo ndo kwanza, yanaanza...!
Maharusi mmependeza sanaaa kwakweli ,hii ni moja kati ya harusi kali tunashuhudia,yote juu ya yote tumevutiwa na mavazi yenu classic.
Katika suala zima la uvaaji na utengezaji wa nywele ,taswira ukumbini,yaani muonekano kiujumla Mr & Mrs Ruga Baruti mmefunika mbayaaa!
Wakilishana Keki
Kivutio kingine wakati maharusi wakitoa burudani
Kwa umahiri wa kucheza na Kwa style za mpangilio wa vidole...'Mmetishaa Ebyehatari'!
Bwana harusi anapokea zawadi kwendana na taratibu za Kimira.