BALOZI KAMALA AKUTANA KAMISHNA WA BIASHARA WA JUMUIYA YA ULAYA
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala
(kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Biashara wa
Jumuiya ya Ulaya Mhe. Karel De Gucht baada kumaliza kikao cha
kushauriana naye masuala mbalimbali ya biashara. Balozi Kamala amekutana
na Kamishna De Gucht ofisini kwake Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya
Brussels leo.
BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA AFRIKA RISE
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Afrika Rise
waliofika ofisini kwake Brussels kumweleza maandalizi ya Maonesho ya
Biashara yanayotarajiwa kufanyika Ubelgiji mwezi Aprili mwaka 2015.