Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA WA SERIKALI YA BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi  kitabu kinachobainisha fursa za  uwekezaji Tanzania Waziri wa uchumi  na biashara wa serikali ya Brussels Mhe. Didier Gosuin. Balozi Kamala amekutana na waziri Gosuin ofisini kwake Brussels leo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau