MAINDA & JAMAL WEDDING VIDEO OCT 18,2014
Hii ni moja kati ya harusi iliyochuka kasi Mjini Bukoba na kumike headlines kwanza Maharusi wamependeza ile mbaya ,watu walivaa na kupedeza ukumbini,mambo ya make up na Decoration sina hata la kuongea siku zote turufu yangu kuhusu Mapambo nampa Mama Matungwa, ukumbi umepambwa na kupambika pia Msosi babu kubwa.
Ni bonge la harusi iliyosindikizwa na Msanii Mkubwa 'King of R&B in Tanzania' Ben Pol fanya kutazama Sehemu ya Video hapa chini Ben Pol akiperform ,yaani 'Ebyehetari',Jingine tunavtiwa nauwezo wa MC wa shughuli hii ,Mc Magoma kutoka Rock City Mwanza Mwanza.
BONYEZA KITUFE CHA PLAY HAPA CHINI UPATE KUTAZAMA VIDEO YETU
Katika Video yetu hapo juu ni Sehemu ya kwanza ya yaliojiri muda mchache uliopita usiku wa kuamkia leo Oct 19 2014,Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi Shukrani kubwa za dhati kwako Mr.Walter Rwey-Robert .
Kaka wa Bi harusi,Ndg Moha katika picha ya kumbukumbu mbele ya bango Maalum la maharusi
JAMAL & MAINDA WEDDING RECEPTION
Venue :: Linas Night Club Colour :: Yellow ,Black n Red
Artist :: King of R&B in Tanzania, Ben Pol Youtube Videos :: Bukobawadau Enter Media
Photo credits: Walter Rwey-Robert Decoration ::Advents Deco and Planning