Bukobawadau

MWAKEZAJI BEN MULOKOZI AKABIDHIWA ARDHI

Pichani ni Mr Ben Mulokozi akifanya tathmini na Mr.Gleew aliyekuwa mmiliki wa eneo na Kiwanda cha Mbao  kilichokuwa Nsunga Wilayari Missenyi
 Mwenyekiti wa Kijiji ambaye pia alikuwa Dreva wa kiwanda hicho akitolea jambo ufafanuzi kwa Mwekezaji mzawa Mr. Ben Mulokozi kuhusiana na historia ya eneo hili toka  mwaka 1978 kulipotokea vita ya Kagera Wanajeshi wa Uganda wakafanyamashambulizi kwenye Jengo na sehemu ya maeneo ya Kiwanda.
 Diwani wa Kata ya Nsunga Wilayani Missenyi akionyesha eneo la kiwanda na sehemu ya Ardhi ambayo toka mwaka 1978 sasa imempata mwekezaji .
Mabaki ya Kiwanda cha Mbao kilichobomolewa na  Majeshi ya Idd Amin wakati wa vita kati ya Tanzania na Uganda.
 Mabaki ya Kiwanda hicho kilicho zungukwa na ardhi kubwa.
 Hii inaonyesha namna Vita hivi vya Kagera vilivyokuwa na athari kubwa kwa mkoa wa Kagera.Athari hizo ni pamoja na vifo wananchi kunyang’anywa mali zao nauharibifu wa miundombinu ya Viwanda na Majengo kama inavyo onekana pichani
  Kwa sasa hii ni sehemu  ya eneo la Mwekezaji Mzawa Mr. Ben Mlokozi pichani kulia katika
Mr.Gleew pichani kushoto ambaye ni mtanzania mwenye asili ya Asia akimtambulisha Mlinzi wa eneo hilo kwa Mwekezaji Mr. Ben Mulokozi.,Mzee huyo pichani katikati pia alikuwa Mlinzi wa familia yao kabla ya Vita iliyo pelekea  kuathiri uchumi wa familia husika.
 Kutoka eneo moja kwenda jingine wanaonekana washika dau ni  Ndg Bushira na Shafih.
 Uongozi wa Kijiji ukishirikishwa katika utaratibu wa mipaka pasipo mgogoro wowote,pale inaposemekana baadhi ya mashamba ya wakulima wadogo yako ndani ya eneo la ardhi ya mwekezaji huyo iliyopo wilayani Missenyi
Sehemu ya Wakazi jirani na eneo hilo.
Aliyekuwa mmiliki eneo hilo kabla ya kumuuzia Mwekezaji Ben Mulokozi.
Sehemu ya Magofu ya kilichokuwa ki wanda vya kupasua mbao
Kama picha inavyo jieleza
 Shuhuda wa tukio hili ni pamoja na Haji Mohammed Chuchu pichani kushoto
Mabaki ya Nyumba ya wamiliki wa eneo hilo, iliyobomolewa wakati wa Vita ya  Kagera 1978

Kama alivyokutwa na Camera yetu ndani ya maeneo husika.


Taswira sehemu ya ardhi hiyo  iliyopo jirani hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Asili wa Minziro
 Mdau Shafih katika muonekano nadhifu.
 Jamaa kapiga bao..Jamaa kakamua...!Ndivyo wanavyo semezana washikadau wa Mwekezaji Mr.Ben Mulokozi 
 Real Estate 'property deals'Ben Mlokozi katika pozi
 Mr Ben Mulokozi aliweza kuongozana na Mama yake mzazi katika mchakato huo.
Masalia ya Jengo.
Wakati  tathimini inaendelea BUKOBAWADAU tunampongeza Mr Ben kwa kuwekeza Nyumbani
Msela akiwa akisikilizia kwa mbaliiii....!
Mtu na Swahiba yake wakapata fursa ya kukumbushana maisha ya kipindi kile wakiwa wote hapa.
Anaambiwa ;'Ulichokifanya ni kwa faida yako wewe, familia yako mpaka kizazi Kijacho'!
Muenekano wa eneo upande wa pili.
 Ndugu Bushira anasema ;'kuhifadhi pesa kwa kununua ardhi kama tajiri yangu maana  haiozi,kupotea wala kuhamishika na thamani yake inapanda kila kukicha.'
 Hakika ni eneo kubwa la Ardhi.
 Muonekano wa Sehemu za mabaki ya Jengo la Kiwanda cha kupasua Mbao.
Katika picha ya PAMOJA na Mama Mzazi wake Ben Mulokozi.
 Mwisho kabisa anaonekana Mwekezaji Ben Mulokozi katika hili na lile na Mh. Diwani(kushoto)
 Mwanalibeneke wenu najaribu  kuangaza kwa haraka Mazingira ya Shule ya Sekondari Nsunga.
 Shule ya Sekondari Nsunga inakabiliana na Changamoto kubwa, Shulr haina sakafu,milango na madirisha
Uongozi wa Kijiji na Uongozi wa Shule unaomba wadau wa maendeleo ya elimu kuwaunga  mkono kwenye ujenzi wa maabara unao endelea...

 Mazingira aliyokutwa Mwanafunzi akijisomea,ni sehemu ya Changamoto
Waliopita katika shule hii mnaombwa kuichangia shule yanu iliyoanzishwa na  kwa ajili ya kuongeza nafasi za masomo na kuboresha elimu katika nchi kijiji na Nchi yetu
 Tunapata kumbukumbu ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa, Marehemu Nicodemus Banduka
 Wahaya wanamsemo usemao;'.Engonzi kibanja kya abana!!!!!
 Watoto kama taifa la kesho wanahitaji matunzo mazuri, amani na utulivu katika masomo pia tupige hatua katika kuwapa upendo watoto kwanza
PICHA ZAIDI TASWIRA MAENEO  NSUNGA ,BYAMUTEMBE ZINAPATIKANA HAPA>Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau