MH.WAZIRI LAZARO NYALANDU AZINDUA RASMI MRADI WA HOSPITAL YA COSAD TANZANIA
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege Mjini hapa kwa ajili ya Uzinduzi wa Mradi wa Hospital ya Shirika la COSAD Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali COSAD Ndg Smart Baitani (kulia)akimtambulisha Mdogo wake Ndugu pichani kushoto kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu muda mchache alipowasili Mjini hapa.
Rais wa COSAD Tanzani Ndg Smart Baitani akimkaribisha kitabu cha Kusaini Mh.Waziri Nyalandu.
Wakifurahia jambo wakati wa Maongezi mafupi na Mh. Waziri Lazaro Nyalandu.
Kutoka Jamco Video Production na Jamco BLOG ni Mdau Jamal Kalumuna 'JK' katika Ukodak na Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu
Muonekano wa Meza kuu
Askofu wa Jimbo La Karagwe Dr. Benson Bagonza akiongoza Sala ya Ufunguzi wa hafla hii.
Rais wa COSAD Tanzani Ndg Smart Baitani akiongea machache kuhusu COSAD na historia yake
Anatoa Salama Mmoja wa Walezi wa Shirika la COSAD Tanzania
Aliyesimama ni pichani ni Dokta Sawa Pamella Msajili wa Vituo vya Afya Binafsi na Umma.hii ni katika Utambulisho na Shukrani kutoka kwa Mkurugenzi mwanzilishi wa COSAD Tanzania.
Shughuli za Ufunguzi wa Hospital ya COSAD inaongozwa na Mc Kim kutoka Jijini Mwanza Tanzania.
Wadau mbalimbali na Vikundi vya Kwaya zilizo Chini ya COSAD Tanzania
Burudani ya Kwaya.
Sehemu ya Wanakwaka wa Wanacosad kutoka Ngara
Tunakutana na Canon EOS 5D Mark II hii ndiyo Camera sahii kwa utendaji wa kazi aisee!!
The Voice wakitoa burudani mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu katika hafla fupi ya Uzinduzi wa Hospital ndogo ya COSAD Mjini Bukoba.
Kutoka Ubalozi wa Marekani ni Mwakilishi wa Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe.Mark Childress
Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Hospital ya Cosad Tanzania.
Kulia ni Mlezi wa Shirika lisilo la Kiserikali COSAD Tanzania Mchungaji Ben Swanson.
Meza kuu ikifuatilia burudani.
Ni fursa ya Mgeni Rasmi na Waalikwa kupata burudani
Burudani ya Ngoma ikiendelea.
Kutoka Nchini Uganda ni Kikundu cha Ngoma za Asili kijulikanacho kama'Abasinga Group'
Wasanii wa Kikundi cha Twins wakiimba wimbo wao na kusema misemo ya kuhamasishana kuhusu kuwathamini Wanawake .
Hotuba kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu.
Wakiendelea kumsikiliza Waziri
Katika kuwajibika maswala kama haya hayaitaji kubeba bango
Mbele ya Camera yetu ni Miss Jesca.
Mbele ya Camera yetu ni Mwanadada Anitha Zimbihile.
Mara baada ya hotuba anampongeza sana Waziri Nyalandu kwa hotuba yake nzuri aliyoitoa
Baitani La'Familia wakifurahishwa namna mambo yanavyokwenda
Maneno ya Sehemu ya hotuba ya Waziri Nyalandu yanamfurahisha mwanadada Monica pichani
Mzee Rwebangira akitoa Shukrani kwa Mgeni Rasmi kwa niaba ya Cosad.
Ni kikundi cha Kwaya cha Wanacosad kutoka Ngara kikitumbuiza,hii ni moja ya kwaya kongwe katika Ukanda wa Ziwa
Taswira mbalimbali Ukumbini..
tASWIRA
Katika picha ya pamoja mbele ya bango lililopo mbele ya Jengo la Hospital ya COSAD.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu anakata utepe , kitendo kinacho ashilia kuwa sasa Cosad CLINIC iliyopo barabara ya Nyamkazi imezinduliwa Rasmi
Mh. Waziri Nyalandu akiendelea kukagua a mradi wa hospital hiyo utakaoweza kuhudumia watu mbalimbali.
Katika hili na lile wakati Waziri anaendelea na Ukaguzi
Dr. Jessica Baitan akiendelea kutoa Maelezo kwa Mh. Waziri .
Miss Jesca akiteta jambo na Dr.Susan McCormick ambaye ni Mlezi wa COSAD Tanzania.
Dr.Jessica Baitani anatolea Jambo ufafanuzi wakati Mh.Waziri Nyalandu akikagua hospital hiyo
Dokta Sawa Pamella anatolea jambo ufafanuzi kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Lazaro Nyalandu
Haya ndiyo yaliyojiri Oct 4,2015 katika Uzinduzi wa COSAD CLINIC.
Askofu wa Jimbo La Karagwe Dr. Benson Bagonza akiwaongoza wageni kupata huduma ya Chakula
Kwa matukio ya picha zaidi ya 100 yanapatikana katika Ukurasa wetu wa facebook.
Katika picha ya kumbukumbu
Mwisho Mh.Waziri Nyalandu akiagana Ms Brittany Leitch ambaye ndiye Mkurugenzi Mipango wa COSAD