Bukobawadau

PICHA VICTORIA KIMANI NA WAJE NDANA YA XXL

Wasanii watakaoperfom kwenye jukwaa la serengeti Fiesta, Victoria kimani kutoka Kenya na mwanadada Waje kutoka Nigeria siku ya Jana walijiunga na watangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds fm kuzungumzia tamasha la Serengeti Fiesta litakalo fanyika jumamosi hii kwenye viwanja vya Leaders club. Hizi ni baadhi ya picha za kilichotokea siku ya leo kwenye studio za clouds fm
  Victoria Kimani akisalimiana na mtangazaji wa XXL B Dozen,P.No.1waje akisalimiana na Dj Fetty
 Victoria Kimani
 Kushoto ni Mtangazaji Bdozen akiwauliza swali.
 Msanii Waje akisisitiza jambo
 Picha ya pamoja na Super nyota divas.CREDIT;Teamtz.com
Next Post Previous Post
Bukobawadau