SADATH BOUTIQUE MAHALI SAHIHI PAKUJIPATIA BIDHAA ZA KISASA
Camera yetu ndani ya Sadath Boutique wale wakali kwa uuzaji bidhaa kama ;Shirts,tshirts,sui ts,jackets,sweater,pants,j eans,watch,hand bag,backpack,hoodies,shoes ,boots,skirts,sandals,mule s,slippers.
Ndani ya Sadath Boutique waliopo ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba utajipatia nguo za kisasa za kila aina na za kila rika,
Ndani ya Sadath Boutique utapata Nguo za wadada kwaajili ya ofisini, kutokea usiku na hata kwaajili ya kuwa casual kwa siku za kawaida.
Mikato ya kisasa kama inavyo onekena katika picha.
Sadath
Boutique kwa sasa wapo kivingine na kitofauti kabisa hii yote ni
katika kukuwezesha wewe mteja kupata kile kinacho kustahili kwendana na
mitindo ya kisasa kabisa katika nyanja hii ya uvaaji
Kupitia picha hii Mtalaam wetu wa Mavazi huko ng'ambo anashauri mpangilio wa flanner Gray na Trouser yoyote na akasisitiza hivyo ni vitu vya Ronald Reagan.Na kwa hapa Bukoba ni ndani ya Sadath Boutique
Kwa ufupi tunachoweza kukueleza ndugu msomaji ,kama wewe unajuwa na unaelewa kuvaa ni nini na
kujistili ni nini ni kwamba kwa wale wavaaji Sadath Boutique ndiyo sehemu
sahihi.
Kwa mvuto zaidi kwa masister doo, Mpango mzima ni kufika ndani ya Sadath Boutique
Muonekano wa Viatu pichani juu,Kwa kiswahili sahihi sijapata ila wenzetu wanasema ni Blucher wingtip dress shoe hapo kwa suti sawa casual pia inakubalika.
Jukumu walilo nalo Sadath Boutique ni kukufikishia bidhaa kwendana na hali ya hewa.
Hakika jamaa wapo vizuri.
Hakika Sadath boutique kwa upande wa wanaume wamedhibiti vyema kwa kulete viatu aina mbalimbali kwa kuzingatia ubora.
Mambo ya Air Max yanahusika.
Onekana nadhifu na Mashati ya Kisasa Design na Rangi tofauti tofauti,yote juu ya yote utapata Mikanda ya Ngozi (Pure Leather) kwa size tofauti. Jeans za Kileo zisizopauka kirahisi.
Mambo ndani ya Sadath Boutique si mchezo
Sadath Boutique Wapo jirani kabisa na Soko Kuu Mjini Bukoba barabara ya Kashai ya Zamani
Mawasiliano +255 784 240 006 +255 717 493 707
Mawasiliano +255 784 240 006 +255 717 493 707