SAKATA LA SITTI MTEMVU MISS TANZANIA 2014
Lile sakata la Miss Tanzania 2014 ,leo umetoka ushahidi mwingine juu ya umri halisi Sitti Mtemvu - passport yake inaonyesha ana miaka 25!
Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu
Eti Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu
Eti Miss Tz 2014 ana miaka 18... Ana Masters!!!!
Piga hesabu:
Miaka 7-Primary
Miaka 4-O level
Mwaka 1-Masters
Miaka 3-1st Degree
Kwa hiyo alianza shule akiwa na mwaka 1...