SLAA AKIWASILISHA MADA NIMD
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Dkt. Willibroad Slaa akiwasilisha mada inayohusu 'Political
Parties Engagement in Political Reforms; The Roles, Persepectives,
Challenges and Dilemma of Opposition Parties in Africa; Tanzania
Experience', kwenye semina iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia
Tanzania (TCD), ikifadhiliwa na Netherlands Institute of Multiparty
Democracy (NIMD), iliyofanyika jana Zanzibar.