TETESI:MSANII DIAMOND NA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KUTUNUKIWA HONORARY DOCTORATE NA UDSM
Tetesi zilizopo ni kwamba katika mahafali ya 44 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam yatakayofanyika katika
Ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014, aliyekuwa mkuu wa chuo
(Chancellor) wa UDSM marehemu Balozi Fulgence Kazaura na msanii maarufu
Afrika aliyshinda tunzo nyingi zaidi kuliko wasanii wote Tanzania
Diamond Platinumz watatunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima (Honoris
Causa) ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa mchango wao kwenye jamii.
Tunawapa Hongereni sana!!
Tunawapa Hongereni sana!!