Bukobawadau

THE COSAD GRAND OPENINGS;BALOZI KHAMIS KAGASHEKI ASHIRIKI UKAGUZI WA MIRADI

 Akiwasili  Mjini hapa Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki anapokelewa na  Viongozi kutoka  shirika lisilo la kiserikali COSAD Tanzania.
Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki akisalimiana na Ndugu Jamal Kalumuna.
Anaonekana Ndugu Jumanne Bingwa katika kumpokea Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki aliyewasili mapema ya Oct 2,2014 kwa ajili ya shughuli mbalimbali jimboni mwake ikiwa ni pamoja na Ukaguzi na Ufunguzi wa Miradi ya Shirika lisilo la Kiserikali COSAD.
Mh. Balozi Khamis Kagasheki akisaini kitabu cha wageni Uwanja wa Ndege wa Bukoba  baada ya kuwasili uwanjani hapo asubuhi ya Alhamis Oct 2,2014.
Muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini hapa Mh. Balozi Khamis Kagasheki akibadilishana mawazo na Rev. Ben Swanson pichani kushoto na Ndugu Smart Bahitani (kulia)ambaye ni CEO & President wa  COSAD Tanzania pia  Executive Director.
 Mh. Balozi Khamis Kagasheki akiwasili katika Mradi wa shamba la Mbuzi wa maziwa (COSAD Cooperative Goat Farm) uliopo  eneo ya Kagando nje kidogo ya Mji wa Bukoba.
Mradi wa shamba la Mbuzi wa maziwa (COSAD Cooperative Goat Farm) utazinduliwa Rasimi siku ya Jumamosi Oct ,2014 na Mgeni maalum atakuwa Dr. Susan McCormick Hadley kutoka Nchini Marekani.
 Mh. Balozi Khamis Kagasheki akiendelea na Ukaguzi wa Mradi huo.
 Mr. Philemon akiwajibika kuchukua kumbukumbu kwa ajili ya COSAD Tanzania
Dr. Susan McCormick Hadley akitoa shukrani kwa Mh. Balozi Khamis Kagasheki
 Mjumbe wa Bodi ya COSAD Tanzania , Mc Harris Kapiga akifanya mahojiano na Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki katika Ukaguzi wa sehemu ya Miradi ya Shirika lisilo la Kiserikali la Cosad Tanzania.
 Kwa mbali anasikilizia Ms Brittany Leitch yeye ni (Country Programs Director)COSAD Tanzania 
CEO & President CODAD Tanzania akimkaribisha Mh Balozi Khamis Kagasheki , hapa ni Nyamkazi Bukoba ilipo Zahanati mpya na ya kisasa kabisa (Cosad Clinic)
 Wadau wa COSAD wakifurahia ujio wa Mh Balozi Khamis Kagasheki
 Mr. Bahitani akiendelea kutolea jambo ufafanuzi.
Sehemu ya Vifaa  ndani ya Zahati ya Cosad.


Matukio zaidi yanaendelea
Hapa ni nyumbani kwa Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Balozi Khamis Kagasheki.
 Maeneo ya Kashura zilipo ofisi kuu za COSAD Tanzania ,pichani ndivyo anavyo wasili Mh. Balozi Khamis Kagasheki kwa ajili ya Ukaguzi wa mambo mengine mengi mazuri...
Mh. Balozi Khamis Kagasheki Balozi akiwa anasaini kitabu cha wageni


 Studio ya kurekodi nyimbo za Wasanii (Imuka Recording Studio)
 ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA VIDEO NA AUDIO


Next Post Previous Post
Bukobawadau