Bukobawadau

YAMOTO BAND YA MKUBWA FELLA KUTUA BUKOBA NOV 2,2014

Ile Bendi ambayo ndo habari ya Mjini 'YAMOTO BAND' ikiongozwa na Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki, Inategemewa kuwasha moto wa burudani ndani ya Linas Club Nov 2,2014
Ewe mkazi wa Bukoba na maeneo ya jirani ,Usikose kushuhudia Vijana hawa wadogo wenye kuimba kwa hisia na kupelekea wewe mtazamaji kupata hisia pia..,'DEKAA!!'
Next Post Previous Post
Bukobawadau