BALOZI KAMALA AKUTANA NA BALOZI WA TRINAD NA TOBAGO UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto)
akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Trinad na Tobago Mhe. Margaret
Allison baada ya kumaliza kikao cha kushauriana jinsi kuimarisha taasisi
ya Afrika, Karibiani na Pacific (ACP). Balozi Margaret amemtembelea
Balozi Kamala ofisini kwake Brussels.