BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI YA ZETES
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na Meneja wa Masoko wa Kampuni ya Zetes ya
Ubelgiji Bwana Stephan Van Hoof (kulia). Kushoto ni Bwana Ronny
Depoortere Makamu wa Rais wa kampuni hiyo. Viongozi hao wamemtembelea
Balozi Kamala ofisini kwake Brussels kumweleza nia ya kampuni hiyo
kuwekeza Tanzania.