Bukobawadau

JK AREJEA NCHINI LEO NA KULIHUTUBIA TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Prof. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam hivi sasa,mara baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Marekani kwenye Matibabu.
Kuhusu yanayoendelea Dodoma, amesema kuwa hawezi kuyasemea kwa vile hana taarifa za kutosha juu ya yanayoendelea huko. Amesema kuwa pindi atakapopata yanayojiri huko ataweza kuyasema kama ataona kuwa kuna haja ya kuyasema.
Next Post Previous Post
Bukobawadau