MAZISHI YA MAREHEMU MTENSA LEONARD NI KUMBUKUMBU YA KIHISTORIA MKOANI KAGERA
Vijana wa kikosi kazi maalum wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mtensa Leonard kutoka ndani ya Nyumba kuelekea Ukumbini kwa ajili ya Misa ya Mazishi iliyohudhuriwa na maelfu ya wananchi kutoka Nje na Ndani ya nchi.
Front line yupo Rahym Kabyemela na Jamal Kalumuna.
Vijana Smart wakiwa kwenye vazi aina ya suti wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mtensa Leonard aliyefariki hivi karibuni kwa kifo cha ghafla ambapo mpaka sasa chanzo cha kifo hicho bado hakijajulikana
Wanatembea kwa mwendo wa pole pole wakati wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mtensa Leonard.
Mjane wa Marehemu Mtensa Leonard.
Pichani Kushoto ni Mzee Rugaibura
Pole sana Benna pole sana Mama Deo pole kwako mama Prince.
Pichani ni watoto watatu kati yawatano wa kuzaliwa na Marehemu Mtensa Leonard.
Mzee Rugaibura, Mzee Frank Theophi na Mzee Mchuruza wakiendelea na Misa ya mazishi.
Pichani Katikati anaonekana Mr. Karoli wa Mutukula, huyu ni mmoja wa wafanyabiashara maarufu kwa ukanda wetu waliotokea kupatapa mafanikio makubwa kupitia mikononi mwa Marehemu Mtensa Leonard ambaye leo Jumamosi Nov 22,tunampumzisha katika makazi yake ya milele
Bi Letty akiendelea na misa hii maalum kumuaga Mpambanaji, mzalendo Marehemu Mtensa
Katika sintofahamu anaonekana Bi Anitha David Mtensa.
Shughuli ya Misa ikiendelea,hapa kikubwa ni mpangilio wa shughuli nzima,heshima kubwa kwa mwili wa Marehemu sanjari na Wingi wa watu ni hali iliyoongeza mazishi hayo kuwa ya aina yake.
Mr. Ben Kataruga na Mr Justuce Rugaibura wakiwa wametoka Jijini Dar es Salaam kushiriki shughuli ya mazishi ya Rafiki yao , Kaka yao mpendwa Marehemu Mtensa Leonard
Sehemu ya Wanakwaya.
Mzee Baganda na Mzee Nyerere waliokaa mstari wa mbele.
Umati mkubwa wa watu wakiendelea kushiriki Misa ya shughuli ya Mazishi ya Marehemu Mtensa Leonard nyumbani kwake Kyaikailabwa takribani kilomita 3 nje kidogo ya Mji wa Bukoba
Sehemu ya wanachama wapambanaji 'Wanapamoja' wakiendelea kushiriki Misa ya kumuaga Ndugu yao, rafiki yao ,kaka yao mpendwa na mwanachama mwenzao mtu wa watu Marehemu Mtensa Leonard.
Kutoka kushoto ni Mzee Baganda akifuatiwa na Mzee Philbart Nyerere na Mzee Pius Ngeze
Mdau Yusuph Abed (Dj Y) na Ndugu Rahym (Dj Ray )hakika wameguswa sana na msiba huu.
Inasikitisha na kuhuzunisha ,pichani kushoto ni Mama Mzazi wa Mjane wa Marehemu akiwa na (Ma Kossi)ambaye ni Mama Mzazi wa Marehemu Mtensa kwa pamoja wanamlilia mpendwa wao
Kutoka kushoto ni Jamal (Jamco)Kalumuna, Rahym Kabyemela, Mc Baraka (Bukobawadau), Ndg Rmk Ramadhani Maulid Kambuga Mr. Follo , Gilbart Gsmart George na Ndg Samola Lyakurwa.
Mr. Innocent Pajero , Mc Jerry na Ndugu Optaty Folo pichani.
Kaka Mkubwa E.Nyambo anamwongoza Mama Mzazi wa Marehemu Leonard Mtensa kushuhudia.
Bi Benna Kurji Mrs Deo ambaye ni shemeji ya Marehemu Leonard Mtensa
Jeanifer Murungi Kichwabuta
Watoto wa Marehemu wakitoa heshima za mwisho..'Tutakukumbuka Baba yetu mpendwa'!
Watoto J mmoja wa marehemu wakiaga mwili wa baba yao huku wakilia kwa uchungu
Katika zoezi la kushuhudia anaonekana Mzee Yusto Mchuruza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Ben Expeditions akitoa heshima za mwisho.
Mkubwa Justuce Rugaibura kutoka Jijini Dar es Salaam akitoa heshima zake za mwisho
Mama Muhazi, rafiki wa familia akishiriki zoezi la kutoa heshima za mwisho
Kaka Mkubwa Ernest Nyambo akitoa heshima za mwisho kwa rafiki yake,'katikilo wake' Mtensa
Watu mbalimbali wakiendelea kuhushu
Mh. Yusuph Ngaiza Diwani Kata Kashai mara baada ya kushuhudia mwili wa rafiki yake
Mtawa wa kanisa Katoliki nchini akitoa heshima zake za mwisho kuuaga mwili wa Marehemu
Mrs David Mtensa
Sehemu ya Wafanyakazi wa Linas Club wakitoa heshima za mwisho
Zoezi la kutoa heshima za mwisho likiendelea
Mr.Minas Visram na Mr. Bandali wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa rafiki yao
Waombelezaji wakiendelea kutoa heshima za mwisho
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa ,ni hakika kifo cha Mtensa ni huzuni mkubwa
Mzee Ojwambo katika zoezi la kushuhudia.
Mzee Pius Ngeze akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu
The futuhi....
Shukrani za pekee kwako Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta Bukobawadau tumeshuhudia namna ulivyojitoa kwa nguvu zako zote kwa hali na mali katika msiba huu .
Mama Petel Mulima pichani
Wadau wakiendelea kutoa heshima zao za mwisho kwa Mpambanaji Marehemu Mtensa.
Mr. Deo Rugaibura, Uncle Salum na Ndg Optaty Kajuna (Follo)
Mama Mwainunu akitoa neno na rambirambi kwa niaba ya 'Wanapamoja'
Kaka Mkubwa Ernest Nyambo akitoa yake ya moyoni kwa niaba yake binafsi na kufikisha kile kilichotoka kwa Bukoba Veterans katika kusupport msiba huu mkubwa wa mwenzao.
Waakirishi kutoka Kikundi cha Sanaa cha Futuhi wakiongozwa na Mdau Mzalendo Willy Kiroyera
Kutoka kundi maarufu la Futuhi la jijini Mwanza wameguswa sana na msiba huu 'Ebyehatari'!
Mwalimu Bube, ambaye ndiye aliyekukuwa swahiba wa karibu na Marehemu anatoa utambulisho kwa watoto wa Marehemu kabla ya kusoma wasifu wake.
Marehemu Mtensa Leonard ameacha Mjane na watoto wa tano,Wanne wa Kiume na Mmoja wa Kike, pichani ndiye kitinda mimba kwa jina ni Stalon Mtensa.
Mr.Alfred Matovelo akiwa ametoka jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki mazishi ya rafiki yake
Watu wanalia! wanahudhunika na machozi yanawatoka kufuatia msiba huu wa kihistoria.
Bi Linna Mtensa mtoto mkubwa wa Marehemu Mtensa Leonard
Katika Utayari kuubeba Mwili wa Marehemu Mtensa Leonard Kuelekea eneo la Kaburi
Kuelekea eneo la Kaburi
Wakati tukiendelea tunapokea Salaam za rambirambi kutoka kwa Ndg Bennett Rweyemamu akiwa Dar es Salaam,anasema;'Nakumbuka mara ya mwisho kabisa miaka miwili nikiwa Bukoba Kaka Mtensa ndo alikuwa mtu wa mwisho kuachana naye, tumeachana karibuni saa saba usiku nikiwa na mdogo wake Mugisha na kesho yake nikapanda ndege kuelekea Dar es Salaam. Kwa kweli usiku ule nilifarijika sana sana kwa kuwa kwangu na Kaka Mtensa kwani tukiongea mengi sana na kanipa maneno makubwa sana kanizungusha kwenye miradi yake yooote na nikamuahidi tungeshirikiana pale ambapo tungeweza kuhitajiana'
Kusema ukweli. Ni majonzi makubwa sana, sana kumpoteza mpiganaji mzalendo wa mkoa wa Kagera na mji wa Bukoba kwa ujumla. Kwa heshima zote nawatakia ndugu, familia, marafiki na jamaa wote moyo wa Subra kwa kupoteza JEMBE!!!!! Mungu akupokee Kaka Mtensa! Amen. (Bennett Rweyemamu-Dar es Salaam)
Jeneza likiingizwa Kaburini
Mama Mjane akiweka Udongo kwenye Kaburi la mme wake Mpendwa.
Mwalimu Jackson Buberwa akiweka Udongo kwenye kaburi
Mama Mzazi wa Marehemu tayari kwa ajili ya kuweka shada la maua.
Binti wa Marehemu Mtensa Leonard akiweka shada la maua
Ndugu Optaty Kajuna anaweka shada la Maua.
Utaratibu wa kuweka mashada ya maua ukiendelea.
Mr . Ben Kataruga na Mwenzake Justuce Rugaibura wakiweka shada la maua
Kwa umahiri mkubwa Mr. Bube akielezea anavyomfahamu marehemu nje ndani anasema; Marehemu Mtensa katika kuwepo kwake Duniani alipenda sana wimbo uitwao(I Will Always Love You wa Whitney Houston)hivyo anahakika wimbo huo ukipigwa mahali hapa tutakuwa tumetenda haki kwa Marehemu Mtensa Leonard
Mr. Bube akiendelea kutolea jambo ufafanuzi
Neno kutoka kwa Hajj Maulid Kambuga kwa niaba ya Wazee.
Sehemu ya waombolezaji
Neno la Shukrani kwa wato walioshiriki shughuli ya kumuaga Mpendwa wetu linatolewa na Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi Ndugu Self (Super) Mkude
Mc Muongozaji akitoa utaratibu
Anaitwa Linna, mtoto mkubwa au wa kwanza kuzaliwa na Marehemu Leonard Mtensa
Marabaada yashughuli nzima ya mazishi.
Ndivyo linavyo onekana kaburi la Marehemu S.Leonard Mtensa likiwa na maua kila aina
Mara baada ya Shughuli ya Mazishiwadau wakibadirishana mawazo
Washirika wa Bukoba Veterans,Shukrani kubwa kwenu kwa niaba ya familia ya Marehemu
Mh.Rwaks Wilfred Lwakatareameweza kushiriki katika maziko haya.
Kikosi kazi maalum katika picha ya kumbukumbu
Baadhi ya Wafanyakazi wa Linas Night Club.
Rais wa COSAD Tanzani Ndg Smart Baitani
Marehemu Mutensa alikuwa ni mpambanaji aliyejitahidi kuibadilisha Bukoba kwa jitihada za ujasitiamali. Ni miongoni mwa wazaliwa wa Bukoba ambao kwao Bukoba ilikuwa ni kila kitu, kuwekeza Bukoba kuna changamoto nyingi. Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake litukuzwe. Tumuombe Mungu aipokee roho ya marehemu na ampatie pumziko la amani.
Kwa matukio ya picha zaidi ya 200 unaweza kujiunga nasi katika Ukurasa wetu wa facebook kupitia link hii hapa>> Bukobawadau Entertainment Media