SALUM MWALIMU AONGOZA OPERESHENI DELETE CCM, YAZAMA VIJIJINI RUKWA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Zanzibar, Salum Mwalimu akisaini daftari la wageni kwenye ofisi ya chama
hicho, Kijiji cha Laela, Jimbo la Nkwera, mkoani Rukwa wakati
alipowasilini kijijni hapo juzi Jumatano, kuanza ziara ya siku 5 katika
vijiji mbalimbali vya mkoani Rukwa, ukiwa mwendelezo wa ziara iliyopewa
jina la Operesheni Delete CCM kuanzia uchaguzi ujao wa serikali za
mitaa, vijiji na vitongoji.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akiwahutubia wananchi wa Laela
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Salum Mwalimu akihutubia wananchi wa Kijiji cha Kaoze, kilichopo mwambao wa Ziwa Tanganyika, mkoani Rukwa wakati alipowasilini kijijni hapo kuendelea na ziara ya siku 5 katika vijiji mbalimbali mkoani humo ukiwa ni mwendelezo wa ziara iliyopewa jina la Operesheni Delete CCM