MDH KUTOA BURE HUDUMA YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI-MJINI BUKOBA
Shirika la Usimamizi na Maendeleo ya Afya (MDH) ,shirika la JHPiego na Wizara
ya afya wameanza kutoa huduma za Dalili za awali za saratani ya mlango wa
kizazi ,Mkoani Kagera,huduma hii tayari imeanza toka Jana tarehe 17 hadi 20 desemba 2014 katika hospitali ya Mkoa iliyopo Mjini Bukoba.
Wanawake
wanashauriwa kujitokeza kwa wingi,huduma ni bure!!