Bukobawadau

SHUGHULI YA UZINDUZI WA UKUMBI WA ANGELINA SOCIAL HALL RWAMSHENYEI BUKOBA

Picha ya pamoja kati Mgeni Rasmi katika shuguli ya Uzinduzi wa Ukumbi wa Angelina Social Hall Mzee Yusto Mchuruza wa tatu kutoka kulia katika picha ya pamoja na Wanakwaya, Padre, na familia ya Mkurugenzi wa  Ukumbi huo .
 Angelina Social Hall ni ukumbi mpya wa sherehe mbalimbali na mikutano wenye kila sifa na kila kitu cha kisasa hafla ya uzinduzi imefanyika siku ya tarehe Dec 26,2014 Mjini Bukoba maeneo ya Rwamishenye /Kiteyangwa.
Ibada ya ufunguzi iliyo ongozwa na Padre Mkunda wa Bunena  ikiendelea
 Waumini wakiendelea na Ibada ya Ufunguzi wa Ukumbi huo.
Padre Mkunda wakati akiendelea na Ibada hiyo
Matukio yakiendelea.
Sehemu ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Ibada .
Wanakwaya .
 Muda mchache kabla ya kufikia mwisho wa Ibada
 Mc Joyce Rubozi  kama anavyo onekana pichani
 Kijana Charles Rutta akicheck na Camera yetu
Wageni Waalikwa wakiwasili eneo la tukio.
 Padre  akibariki jengo la Ukumbi wa Angelina Social Hall.
 Mgeni Rasmi Mzee Yusto Mchuruza akikata utepe
 Kushoto ni Mama Matungwa  mpambaji wa Ukumbi huu , kulia ni Mwalimu Joyce Rubozi Mc Mshereheshaji wa shughuli hii
 Muonekano wa ndani ya Ukumbi wa Angelina Social Hall.
Ndani ya Angelina Social Hall ,Ukumbi wenye uwezo wa kuingiza wengi waliokaa kwenye viti , ukumbni huu umetengenezwa kisasa zaidi na kuongeza nakhish ndani ya Manispaa Bukoba.
 Ndugu wa familia ya Mzee Rutainulwa  wa kijijini Kitwe, kushoto ni Ndg Chalres Ruta na Bi Valeria Ruta.
Meza ya Mrs Chichi, Bi Farida Kassim na Bi Murung
 Mr & Mrs Deo Lugaibura.
 Anaingia Ukumbini Bi Sharifa Kalwani.
 Dj box iliyopo eneo la juu.
Hafla inaendelea , pichani wanaonekana qaalikwa wakipata Vinywaji taratibu.
 Akishow love na Kinywaji cha Windhoek pichani ni Mrs Geofrey Kibogoyo
 Mtoto Jeanitilliser akiongoza zoezi rasmi la kukata Keki .
 Makofi kumpongeza Mtoto Jeanitilliser
 Mr Kashebo , mama mzazi wa Mtoto Jeanitilliser akilishwa Keki na mwanae.
 r akiendelea na utaratubu wa Keki.
Mtoto Jeanitillise anamlisha Keki Babu yake Mzee Jeremiah Kashebo.
Watoto katita meza iliyo jaa  vinjwaji aina mbalimbali!!!Kidogo inaleta Shaka hii!!
 Sehemu ya waalikwa ukumbini
 Zoezi la Keki likiendelea kwa Ndugu wa familia.
 Naye Mtoto akapata fursa ya kulishwa keki.
 Mambo Kashebo akichukua kumbukumbu kupia simu yake .
Waalikwa wakitoa pongezi kwa Mkurugenzi wa Kashebo General Traders Co. LTD.
Pongezi zikiendelea kama inavyo onekana kupitia picha.
 Mr Rahym Kabyemela (Organizer) akiteta na Mr. Christopher Chichi.
Ndugu Anathory Amani mara baada ya kutoa pongezi zake.
 Meza ya Mr & Mrs Wenceslaus Rwiza
 Kwa matukio zaidi ya picha ingia hapa Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau